Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi

Ilikuwa janja ya maccm alikwenda kumdhoofisha Mrema. Huyu mzee ni janga..ni mnyongaji wa demokrasia
 
Hilo nalo ni kosa lingine. In case ulidhani mimi ni MwanaCHADEMA au mfuasi wa UKAWA umekosea sana. Ila huwa nasema kila nnchodhani ni sahihi.

Post na maneno yako yanajidhihirisha upo huko wala usingeandika ulichoandika,hizo ni akili za saccos yetu na jamaa wa ukawa
 
Saa ile ilikuwa ni kosa. Sasa huu ni ujinga. Kulazimisha kitu hata baada ya kupewa mwongozo!
 
Utasema mengi lakini Wassira atabaki kuwa Innocent, upepo wake unavuma vizuri na watanzania wanamuelewa, ukimchafua anazidi kusifika, ukimtukana anazidi kujulikana,
Tyson ni sawa na gogo la udi ukilichoma Ndio linazidi kunukia.
Mie nakumbuka alipelekewa briefcase ya pesa na wahindi wa MUKPAR ili apitishe registration za madawa yao ya kilimo
 
Weka nakala ya kesi tuione, na draft ya hukumu...
Hiyo ya nakala hata wewe, kama huamini, unaweza kuitafuta uisome.
...ili ujue msingi wa ile kesi ulikuwa nini.
Msingi wa kesi, kama ulikuwa hujui, ni kutoa rushwa kwa wapiga kura.

WA TANGA, mambo yamebadilika...unajua kwa nini Wassira alitoka CCM, akajiunga na NCCR na baada ya kifo cha Mwalimu akarudi CCM? FYI, CCM baada ya Mwalimu, ndio kimbilio la walafi na wala rushwa...huko ndiko wanaweza kutamba na kutafuna nchi kama mchwa bila bughdha.
 
Hiyo ya nakala hata wewe, kama huamini, unaweza kuitafuta uisome.

Msingi wa kesi, kama ulikuwa hujui, ni kutoa rushwa kwa wapiga kura.

WA TANGA, mambo yamebadilika...unajua kwa nini Wassira alitoka CCM, akajiunga na NCCR na baada ya kifo cha Mwalimu akarudi CCM? FYI, CCM baada ya Mwalimu, ndio kimbilio la walafi na wala rushwa...huko ndiko wanaweza kutamba na kutafuna nchi kama mchwa bila bughdha.

If that is true, Kwa nn Makongoro Nyerere alishinda ubunge kupitia NCCR?
 
Tatizo watu mnajaribu kusahau haswa mnayemzungumzia ni nani. Issue siyo Wassira hasa ni chama kinachompa nafasi. Na tatizo la CCM kwa sasa ni kuwa chama kimechafuka sana kiasi kwamba waliobakia aidha wana kashfa chafu kuliko yeye au wamechoka kutetea uchafu mpaka jamii imewazoea hivyo.

Kwa hiyo tukitafsiri hali hiyo kwa sauti, ni kuwa CCM iko desperate kiasi hicho. Na kama hamna habari in desperate times mtu can do anything including kuwaachia watu wasiojua hata wao ni kina nani kuwa wasemaji wao katika midahalo na mihadhara!

Ni kweli CCM iko desperate lakini uchaguzi ukiitishwa watanzania wanaendelea kuwachagua. Nani wa kulaumiwa hapo?
 
Saa ile ilikuwa ni kosa. Sasa huu ni ujinga. Kulazimisha kitu hata baada ya kupewa mwongozo!

mafumbo unaweza kumfumbia mjinga mwenzako lakini welevu tunawafahamu,ulichoandika hapa awali ni ujinga mtupu,kama una akili fuatilia neno kwa neno uone kama kuna akili hapo
 
May be
 
Evi ile tabia ya kupiga mke na kukimbilia kwa hawara yake Mjane Mke wa Ndege amekoma? nasikia kaamia huko, hata hivyo tunaweza kuneemeka wizara ya maliasili na utalii
 
Kwa hakiri za maccm Wasiraaa ndo amebaki jembe lao'. Wakashau jamaa lilivyo babe na janja zaidi ya nyani.

Mimi kinacho nishangaza zaidi ni kule CCM kusahau kwamba Mh.Wasirra na Jaji Warioba waliwahi kufikishana mahakamani, hivi mtu kama huyu unategemea anaweza kweli kukubalikiana na masuala yaliyo simamiwa na Mzaledo Warioba?? Tusijidanganye hapa, wanachama wilipaswa kuliona hilo na kumshauri Mzalendo Kinana au JK kwamba Wasirra hasiwe msemaji au sijui strategist wa Chama tawala kuhusu mambo ya katiba - kuna conflict of interest kati ya Wawili hawa, hata ukijaribu kusikiliza hoja zinazotolewa unaona wazi wazi hazina mantiki yoyote zaidi ya kutaka kukwamisha kazi ya mwenzake ili aonekane hajafanya la maana - ni hilo tu, wala huitaji shahada ya sayasi ya ROKETI kujua kinacho endelea hapa.

Egos za watu wachache kwenye chama chetu zinaweza kabisa kuvuruga Taifa letu 2 a point of no RETURN, kwani amulioni hilo - tunabaki kupamba pamba watu bila ya kutafakari mambo kiundani, mambo yakiharibika hapa tutakuwa wageni wa nani? Kulazimisha mambo tu.

Wala hawashtukii suala la takwimu zinazo onyesha ma afisa wengi Serikalini kwenye key posts za ajila ya kudumu wanapendekeza Serikali TATU, hawa ni wafanyakazi wanao deal na masuala nyeti Serikalini lakini wamekuwa majasiri wakapendekeza a three tier GOVTs - kwa nini?
 
CCM wamechafuka mno mno kwa ufisadi na rushwa na hakuna wa kumsema mwingine kwani wote wanajuana kwa tabia zao!
 
Ukweli utabaki kuwa palepale, Wassira hana historia ya ufisadi, yeyey ni mpambanaji kwa hoja za wananchi, hata wakati anagombea na Warioba Bunda yeye alikuwa anagusa hoja za Wananchi lakini mwenzake anazungumza mambo ya sheria za taifa na mahakama, wananchi hawakumwelewa wakampiga chini, hata sasa Wassira anagusa yaliyo ya wananchi kama alivyosema Baba wa Taifa, lakini Warioba amepotoka na kumsaliti Nyerere.

Japo mpaka sasa hakuna ugomvi kati ya Warioba na Wassira, ni jamaa moja toka kijiji kimoja,Wilaya moja, Lugha moja Mkoa mmoja. Wote ni Wazalendo kwa historia zao.
 
Kwa nini unasema Warioba ni msaliti wa Nyerere? Mambo haya ya kupamba pamba watu yatakuja kututokea puani, kwa ni hatujui wanatoka Mkoa mmoja, wanazungumza lugha moja nk? Tunacho taka sisi ni amani ya kudumu, we don't need wajanja ambao wanaweza kulingiza Taifa letu katika machafuko yasiyo ya lazima kwa kulazimisha mambo - maslahi binafsi yasitumike kupotosha wananchi, Taifa letu linahitaji watu ambao wako transparent kwa kila jambo, hata tukimkabidhi NCHI tunakuwa na peace of MIND. Sizungumzi haya kwa kubahatisha.
 
wassira awez kuwa fisaidi kuliko dr slaa aliye kula pesa za ruzuku za chadema kwa kununua gar la kifahari
 
Back
Top Bottom