Mnaomshambulia Spika Ndugai someni katiba ya nchi

Katiba ya nchi haifuati maamuzi ya vyama vya siasa ila vyama vya siasa vinalazimika kufuata katiba ya nchi, kwa hicho kibarua unataka kuniambia Spika ndiye aliwajibika kutangaza uwepo wazi wa nafasi ya ubunge jimboni? Hapo hatujaona barua toka CCM kwenda kwa Spika kama ilikuwapo na pili hatujaona barua ya Spika akiinulisha tume ya uchaguzi uwepo wa nafasi wazi ya ubunge, hata hivyo bado siyo jukumu la bunge kutangaza nafasi za ubunge wala kutengua ubunge, tusilazimishe mambo.
Dah kiongozi naona umeamua kuweka rehani hadi akili yako kwa maana huna matumizi nayo,kwahiyo unataka kusema na hiyo barua siyo halali au spika hana uhalali wa kuiandika hiyo barua?
 
Katiba ya nchi haifuati maamuzi ya vyama vya siasa ila vyama vya siasa vinalazimika kufuata katiba ya nchi, kwa hicho kibarua unataka kuniambia Spika ndiye aliwajibika kutangaza uwepo wazi wa nafasi ya ubunge jimboni? Hapo hatujaona barua toka CCM kwenda kwa Spika kama ilikuwapo na pili hatujaona barua ya Spika akiinulisha tume ya uchaguzi uwepo wa nafasi wazi ya ubunge, hata hivyo bado siyo jukumu la bunge kutangaza nafasi za ubunge wala kutengua ubunge, tusilazimishe mambo.
Huna unachojua wewe,kunywa chai uendelee kuchapa kazi usiendelee kujiaibisha man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Ndugu yangu, ni bora ukajiridhisha kwanza na rejea halali ndo ukaja jukwaani. Don't just write from the corner of a village square, write based on reliable source. Kama ukizungumza hivi kwa watu mkiwa ana kwa ana, watakung'ong'a, na heshima yako itashuka kuanzia wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo unataka hiyo tafsiri yako ya katiba iwe authoritative kwetu?

Acheni mambo ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Eleza mbunge anatangazwa na nani na anabatilishwa na nani, ili kila mtu aweke hoja hapa, kumbuka Ndugai naye ni mbunge aliyeidhinishwa na tume baada ya kuchaguliwa.
 
Ref: Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari ya Bunge La Tanzania ya tarehe 26 Julai, 2017 Kuhusu Wabunge 8 wa CUF Baada ya Propesa kufanya yake
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.

Undava undava chadema ni kigoda cha mtu, familia na watu ikiwa chini ya himaya ya wachaga acheni kusumbua vichwa hiki chama lazima kipotee nadhani ndio mtaelewa tunaanza upya November muanze tena kuwinda tembo
 
Katiba ya nchi haifuati maamuzi ya vyama vya siasa ila vyama vya siasa vinalazimika kufuata katiba ya nchi, kwa hicho kibarua unataka kuniambia Spika ndiye aliwajibika kutangaza uwepo wazi wa nafasi ya ubunge jimboni? Hapo hatujaona barua toka CCM kwenda kwa Spika kama ilikuwapo na pili hatujaona barua ya Spika akiinulisha tume ya uchaguzi uwepo wa nafasi wazi ya ubunge, hata hivyo bado siyo jukumu la bunge kutangaza nafasi za ubunge wala kutengua ubunge, tusilazimishe mambo.
Mkuu tusichanganye mambo mengi kwa wakati mmoja.

Mwandishi wa hii post anasema Spika hafuati maamuzi ya chama, nimekumbusha tu kwamba kwenye suala la Nyalandu, maneno ya Spika yenyewe yalisema amepokea barua kutoka kwa Katibu wa Chama.
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
1. Spika hajapokea rasmi maazimio ya kamati kuu kupitia kwa Katibu Mkuu wa chama...uongozi Bora angesibiri ndipo aone namna gani ya kuwashughulikia hili jambo.

2. CDM imewafuta uanachama, hayo masuala ya Ubunge atajua Spika na wana CCM wenzake.

3. Spika bila hata kupokea rasmi barua toka CDM yeye anamgeukia Msajili ...huo ni wajibu wake?

4. Ndugu Spika mikutano ya online inatumika duniani kote na ni rasmi, CDM wako digital..mkutano si lazima mjazane kwenye kachumba kimoja wote mkihemeana wakati huu wa COVID...hata Bunge kwa muda mnaotaka mnaweza kufanya kwa online meeting...ni ku set network infrastructure tu inayofaa kwa idadi yenu.

Masuala ya kusema vikao vyao vya majungu umejishusha mno...Spika ni mtu mkubwa mno kikatiba, kitendee haki kitu chako bila mihemko ya kisiasa.
 
Ni mamlaka halali ila spika halazimishwi na hiyo barua kutoa majibu papo kwa papo! kwa speed ambayo wao CDM wanataka!!

Katiba inasemaje kuhusu sifa za kukosa ubunge? Kwani inatoa grace period? Speed maana yake nini?
 
Nasikia Spika CD4 zime shuka akili inapotea potea vile

sijui itakuaje
 
Umeongopa ulianza vizuri Ila umemaliza vibaya. Chama kikisha wafukuza uanachama wabunge wake. Kinamuandikia Spika barua ya kumjulisha na kuambatanisha nakala ya kikao. Spika ndio anawaandikia barua NEC kuwajulisha uwazi wa majimbo ya uchaguzi. Hapo NEC ndio itaitisha uchaguzi. Lakini kwa Spika hana mamlaka tena kutokupokea barua ya chama, au kufanya maamuzi tofauti na maelekezo ya chama. Ukiangalia kwa jicho lingine Spika amejipa maamuzi yote amekuwa CC ya chama, amekuwa Mwenyekiti wa NEC na vile bado ni Spika wa bunge.
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba inasemaje kuhusu sifa za kukosa ubunge? Kwani inatoa grace period? Speed maana yake nini?
Speed ni pale ambapo CDM inataka wakose ubunge na mafao! na Spika ataweza ku-delay ili wapate hizo haki zao!
 
Hawa hawajaacha
Soma vizuri hiyo barua.

Paragraph ya kwanza Spika anasema "mpaka sasa haijapokea barua kutoka kwa" mbunge.

Paragraph ya pili Spika anasema "hata hivyo [spika] amepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa [CCM]"

So it was clear, Spika alitangaza jimbo liko wazi sio kwa barua ya Nyalandu ila ya CCM. Tusubiri barua ya Chadema ifike tumsikie anasemaje.

Ogopa sana Mungu na Technology
 
Speed ni pale ambapo CDM inataka wakose ubunge na mafao! na Spika ataweza ku-delay ili wapate hizo haki zao!
Ana-delay kwa kutumia mamlaka ipi? Katiba inasema atakoma haina if's and buts, kifungu alicho-quote kwenye barua ya Nyalandu ni hiki hapa chini

WhatsApp Image 2020-05-08 at 12.25.25.jpeg
 
Kujulishwa spika ndio hatua ya Kwanza ya kufuata baada ya mbunge kufutwa uanachama wake, naye spika ndio anapeleka tarifa hizo Kwa tume, baada ya hapo ndipo kunatangazwa kuwa Jimbo liko wazi na tayari Kwa uchaguzi

Kosa lipo huku mwanzoni mwa kesi hizi za wabunge kufutiwa uanachama Wao

Katiba ya Chama chao imevunjwa, kwani hawakuruhusiwa kujitetea, Wakati katiba ya Chama Chao imetangulia kusema, mtuhumiwa atajitetea kabla ya kuchukuliwa hatua, na ninaimani wabunge hawa Endapo wataamua kwenda mahakamani watarudishiwa haki yao
Kaisome Katiba ya Chadema, usikurupuke! Kuna kipengele ambacho kinaipa mamlaka kamati kuu kumfukuzulia mbali kiongozi (mbunge) kwa maslahi ya chama. Hivi kwa akili yako ulitaka hawa waliofukuzwa waitwe kuhojiwa wasomewe tuhuma gani wakati hao ni waasi na dunia imeshuhudia wakiasi?
 
Back
Top Bottom