Mnaomshambulia Spika Ndugai someni katiba ya nchi

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,401
Reaction score
29,928
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
 
Yaani awamu hii sio mfano mzuri/reference ya utawala wa sheria.

Alisema Jenerali Ulimwengu, utawala huu umeturudisha miaka mia moja nyuma.

Hakika tupo enzi za giza tena
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Unazu nguka zunguka nini?
 
baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.
Mkuu ni ibara gani inayosema chama ndicho kiijulishe tume ya uchaguzi? Hapo naona kama umeenda chaka, anayeijulisha tume ni Spika.

Chama kinamjulisha Spika kuhusu mbunge aliyepoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge, na ndicho CHADEMA walichokifanya. Sasa Ndugai kwa vile ndiye mkuu wa mhimili huo alitakiwa kufuata matakwa ya Katiba na siyo matakwa yake!
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Mnyika anaandika barua ya kiofisi kama vile inaenda kwa mchepuko.Hayo mambo magumu tutaelewa kweli?
Subiri matusi tu.
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Umeeleza kifupi kwa ufasaha kabisa,sidhani kama nyumbu wataelewa mistari hii michache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
1589268900235.png
 
Akikujibu nae atakuwa na faili milembe
Baada ya mgombea kushinda chama husika hakimpelekei Spika jina la mbunge mteule, tume ndiyo inayomtangaza mshindi na kulipelekea bunge majina ya washindi kwa ajili ya kuwaapisha tu, Spika hawezi kumuapisha mtu ambaye hakupewa jina na tume.
 
WhatsApp Image 2020-05-11 at 22.35.44.jpeg

Explain this later, au Katibu wa Chadema sio "Mamlaka halali ndani ya chama"
 
Baada ya mgombea kushinda chama husika hakimpelekei Spika jina la mbunge mteule, tume ndiyo inayomtangaza mshindi na kulipelekea bunge majina ya washindi kwa ajili ya kuwaapisha tu, Spika hawezi kumuapisha mtu ambaye hakupewa jina na tume.
Hiyo clip umeiangalia?...spika hafai hafai tena bure kabisa umeiona hiyo tabia sio
 
Kujulishwa spika ndio hatua ya Kwanza ya kufuata baada ya mbunge kufutwa uanachama wake, naye spika ndio anapeleka tarifa hizo Kwa tume, baada ya hapo ndipo kunatangazwa kuwa Jimbo liko wazi na tayari Kwa uchaguzi

Kosa lipo huku mwanzoni mwa kesi hizi za wabunge kufutiwa uanachama Wao

Katiba ya Chama chao imevunjwa, kwani hawakuruhusiwa kujitetea, Wakati katiba ya Chama Chao imetangulia kusema, mtuhumiwa atajitetea kabla ya kuchukuliwa hatua, na ninaimani wabunge hawa Endapo wataamua kwenda mahakamani watarudishiwa haki yao
 
View attachment 1447699

Explain this later, au Katibu wa Chadema sio "Mamlaka halali ndani ya chama"
Katiba ya nchi haifuati maamuzi ya vyama vya siasa ila vyama vya siasa vinalazimika kufuata katiba ya nchi, kwa hicho kibarua unataka kuniambia Spika ndiye aliwajibika kutangaza uwepo wazi wa nafasi ya ubunge jimboni? Hapo hatujaona barua toka CCM kwenda kwa Spika kama ilikuwapo na pili hatujaona barua ya Spika akiinulisha tume ya uchaguzi uwepo wa nafasi wazi ya ubunge, hata hivyo bado siyo jukumu la bunge kutangaza nafasi za ubunge wala kutengua ubunge, tusilazimishe mambo.
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Wewe ndiyo unataka hiyo tafsiri yako ya katiba iwe authoritative kwetu?

Acheni mambo ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumezuka wimbi la watu kukurupuka na kumshambulia Ndugai bila kwanza kujua katiba inasemaje, kwa kifupi Ndugai yuko sahihi na Chadema wako sahihi. Nianze na Chadema, Chadema haijamfukuza mtu yoyote ubunge kwani haina mamlaka hayo, ilichofanya ni kuwafukuza uanachama na jukumu lao litaishia hapo baada ya kuijulisha tume ya uchaguzi ambayo inataka kila mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Spika Ndugai hapokei maelekezo toka kwenye chama cha siasa, baada ya chama husika kuijulisha tume ya uchaguzi, tume hiyo itamjukisha Spika juu ya mbunge husika kukosa sifa ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa, hapo ndipo Spika atatakiwa kutekeleza kulingana na matakwa ya katiba.
Mi nikadhani unakuja na kifungu cha katiba kumbe porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom