Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,775
- 2,750
nakulikuwa na folen ya wanunuzi dukani kwake!! Unajua kuna vilaza humu ndan ni waongo waongo na hupenda kutengeneza story za kuonekana kama serkal Inajali wakat uongo mtupuNa tumeambiwa bado alikuwa akiuza sukari tani 250 kwa siku...sasa sielewi walitaka auze tani 1000 kwa siku??????