Mnaompenda rais Magufuli 'msiogope kumshauri'

Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...

Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......

Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'

Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...

Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......

Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...

Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno

Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...

Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'

je anao watu hao?

Kwani wewe Raisi Magufuli kama binadamu amekukosea nini mpaka umchukie kiasi hicho, kwa maana umesema wanaompenda ina maana wewe haumpendi, sasa embu tuambie amekukosea nini kwa maana umekwenda mbali sana, hizi ni siasa tu fisadi Lowasa hakujui na wala hatominya hata kope yake jicho akisikia siku umeanguka, hivyo acha chuki kwa mtu usiyemjua kwa sababu ya siasa!
 
Inasikitisha sana ,chama kinachojinasibu kinauwezo Wa kuitoa ccm madarakani na kuongoza nchi (chadema) kinashindwa kuzuia wafanyabiashara kuficha sukari Arusha.

Sasa wananchi chini ya chadema Arusha wanateseka kwa kukosa sukari.!!!
 
Mimi wasiwasi wangu tusije tukarudia makosa ambayo tulifanya enzi zile za vita dhidi ya " wahujumu uchumi"ambapo serikali ilitaifisha Mali za wafanyabiashara kibao kwa tuhuma zinazonanana na hizi.Kilichotokea baadae hawa watu waliishitaki serikali mahakamani na wengi walishinda kesi na kulipwa fidia ya mamilioni na serikali yetu tukufu.
 
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....

Yes, he might have many sources of informations than us.

What is said here is that, some of these sources might not be correct as it has been justified by this saga.

Kwa kesi ya kuingiza sukari iliyokwisha muda wake wa kutumika (expired), hili ndilo haeleweki kabisa na linazua maswali mengi kuliko majibu na kuturudisha kule kule kujiuliza kwani mpaka haya yanafanyika serikali na vyombo vyake vinakuwa viko likizo au?

Na je suluhisho la kuingizwa sukari iliyo expire ni kupiga narufuku uagizwaji wa sukari ya ziada ili kuziba upungufu ktk soko??

Na je, hao walioingiza sukari mbovu (expired sugar) si wanajulikana? Walichukuliwa hatua gani?

Tatizo la hili saga wala sio nini wala nini, bali ni mifumo mibaya ya uratibu wa sekta ya biashara na hasa sukari inayosababishwa na haohao wanajiita washauri wa Rais!!
 
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...

Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......

Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'

Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...

Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......

Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...

Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno

Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...

Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'

je anao watu hao?

Leo nimeaamini kabisa wewe sio wa kawaida, ningekuwa na uwezo unahitaji KUTUNUKIWA KITU CHA HESHIMA kwa hiyo busara na hekima ulionayo, SHUKRAN THE BOSS
 
Wamemgeuza kuwa Mungu wao.
Anaaminika kuliko hata kibwetere.
Nashindwa kuelewa, kama Luna watu walikuwa na uwezo wa kumshauri mzee mzima kupiga pushup na kuruka mapanga shaa na akatii iweje Leo yale ya msingi wanaogopa kumwambia?
Au walijua hatachaguliwa na NEC hivyo pale walikuwa kwenye ulaji tuu?
 
Ni ngumu sana kwa wanaomzunguka Magufuli kumshauri maana wanajua haiba yake.

Magufuli ni mtu wa misimamo mikali, akishikilia kitu hakiachii hovyo hovyo labda awepo mtu mwenye mamlaka ya kutengua anachokiamini.

In short Magufuli ni Manager and not a Leader...

Ila kwa taifa lilipokuwa limefikia inabidi tuwe na mtu wa namna hii...
Umenena
 
Waliomzunguka nna shaka nao huenda wanataka jamaa akwame maana washauri wenyewe ni akina kitwanga na mpango hhhhhh ni walewale
 
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...

Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......

Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'

Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...

Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......

Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...

Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno

Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...

Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'

je anao watu hao?
Bro..asante sana kwa bandiko lako mkuu awali ya yote naomba unitajie hyo filamu ya castro na mie niione ni moja kati ya watu nawapenda sans kuwafatilia..

Umeongea vizuri sana kuhusu magufuli ..tatizo la watu wengi sana ni kukosa ujasiri ns nafsi za kinafiki mtu alomnafiki muda wowote kwenye hali ngumu au vitisho hawezi kuutetea ukweli..ndicho kinachowakuta washauri wa mh...syo tu kwenye sukari ..hata kwwnye mambo mengne kwa mfano mpaka kufika wiki.ilopita mawaziri wake walikuwa bado hawajskabidhiwa instruments kisheria.kitu ambacho kinawanyima uhalali.kutekrleza majukumu yao kwa wizara walizoteuliwa..na wanajua kabisa kuwa rais hajawakabidhi takribani miezi sita..haya mwanasheris mkuu yupo waziri wa sheria ambae ni swahiba wake yupo..hawa wote wamegeuka waoga na hawawezi tena kuwa free minded kumshauri mh...sasa tunakwenda wapi nchi inakwwnda wapi?..bunge lingetakiwa sasa kumshauri lakin no room anymore limefichwa na kupokwa meno na nguvu yake..the one man show game for 5 yrs
 
Mimi nimeshauri awafikirie wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. ..

Awalipe haki zao hali zao ni mbaya
 
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
I lived in Brazil wabrazil wanatatizo la overproduction ya kahawa ndio wakati mwingine huichoma ili wacreate artificial scarcity in the world market lakini sio tatizo la soko ya sukari hadi to expire. Big sugar producers ni Cuba and Brazil in the world na Russia can consume all sugar produced in Cuba approximately 7.5 million tons per year
 
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...

Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......

Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'

Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...

Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......

Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...

Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno

Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...

Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'

je anao watu hao?
ambao wangekuwa washauri wake amewa-handpick mwenyewe to go through the motions (aka formality).

so, like or loathe it - it's Magufuli show now!

it remains to be seen how long it will last though. ngoma ikipigwa sana....
 
Na inaonekana sasa iv amedanganywe wafanyabiashar wameficha sukar, wakati si kweli, washaur wake wamegeuza neno kuhifadhi na kufanya lionekane kuficha, coz sio kosa kuhifadhi mzigo wowote kwenye Ghala kama ni mwing
NONSENSE!!!... UNA MZIGO MWINGI WA BIDHAA AMBAYO NI HABA SOKONI UNAIFADHI YA NN?? UMEFICHA NA ITAGAWIWA BURE. MUACHE KUTETEA UPUUZ AMBAO UPO LOGICALLY
 
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...

Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......

Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'

Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...

Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......

Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...

Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno

Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...

Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'

je anao watu hao?

UNAWEZA UKAWA SAWA KABISA MKUU . . . NA MIMI NAKUSHAURI UTAFUTE WASHAUR WAZURI WA KUKUSHAURI KATIKA KILA UZI UNAOJARIBU UANDIKA HUMU, NA IKIWEZEKANA WAKUFOKEE KABISA KAMA WALIVYOFANYA CHE NA RAUL KWA FIDEL . . .
 
NONSENSE!!!... UNA MZIGO MWINGI WA BIDHAA AMBAYO NI HABA SOKONI UNAIFADHI YA NN?? UMEFICHA NA ITAGAWIWA BURE. MUACHE KUTETEA UPUUZ AMBAO UPO LOGICALLY
Mkuu labda siyo mfanyabiashara ndo mana Povu linakutoka sana, then usipende kufkir kila kitu ni rahisi, Ngoja nikupe mfano: duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan mengi, sasa tatizo langu ni kwa hao watu kudanganya kwamba sukar imefichwa ni uwongo mkuu,
 
Viwanda vilivyo ndani ya Tanzania vina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha mahitaji ya ndani. Usione rais anapiga kelele kuna mchezo mchafu sana.
 
Mkuu labda siyo mfanyabiashara ndo mana Povu linakutoka sana, then usipende kufkir kila kitu ni rahisi, Ngoja nikupe mfano: duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan mengi, sasa tatizo langu ni kwa hao watu kudanganya kwamba sukar imefichwa ni uwongo mkuu,

Nilichogundua ni kuwa hata Scenario yenyewe ya huyu Papa wa sukari nchini hujaipata vizuri, Yule ni supplier wa sukari ambaye anasupply kwa wafanyabiashara wengi jijini sasa huu mfano wako "duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan" una maana gani hasa kwenye Scenario hii..???
 
Kwa nini ashambuliwe?Ni ukweli ulio wazi kwamba Rais hana washauri wazuri kabisa.Angekuwa nao hii aibu ya ukosefu wa sukari nchini isingekuwepo.Yapo matukio mengi yanayondihirisha jambo hili.
Ngoja waje....

Uko tayari kwa mashambulizi???
 
Back
Top Bottom