Mnaompenda rais Magufuli 'msiogope kumshauri'

Mnaompenda rais Magufuli 'msiogope kumshauri'

Inashangaza sana. Kuna viumbe hapa vinashadidia kwamba Magu anainformstion za kutosha na hakurupuki, je ilikuwaje wataalam wake wanaompa taarifa na ushauri wakashindwa kuona hili la sukari ambalo hata layman alingamua kwamba Magu kakosea?
 
Kwa nini ashambuliwe?Ni ukweli ulio wazi kwamba Rais hana washauri wazuri kabisa.Angekuwa nao hii aibu ya ukosefu wa sukari nchini isingekuwepo.Yapo matukio mengi yanayondihirisha jambo hili.
Humu Ukimsema mh kuna wadau watakushambulia uzi mzima
 
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
Rais anatumia data usidhani anakurupuka. Kabla ya maamuzi hupewa kila kitu na hii imejidhihirisha wafanyabiashara hupenda kutupia mianya kama hii sasa wamampata kiboko yake hawana pa kupenyea daima wanataka Super profit kwa expense ya walala hoi!
 
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
mkuu usitetee tu mpaka ujinga. rais anatakiwa kuambiwa ukweli hata kama haupendi. hiyo ni kazi ya washauri wake na hata kama ningekuwa mimi ningekuwa tayari kupoteza hata kibarua kwa kulinda masilahi ya taifa. suala la upungufu wa sukari sio geni nchini kwa sababu viwanda vya ndani havikidhi mahitaji.
sasa fikiria hii kama sio aibu; wiki chache zilizopita rais alituambia sukari ya ndani itatosha hatuhitaji ya nje kupromote viwanda vya ndani (hiyo ni nia njema hakuna anayekataa)
lakini siku chache zilizopita bungeni waziri mkuu anatueleza kuwa nchi ina upungufu wa sukari na wameaagiza tani 100 nje. (tunarudi kulekule walikokukataa).
hivi ni kweli kulikuwa na ulazima wa kufika huku?
kuhusu ku-expire kwa sukari sijui kutoka Brazil, hilo ni suala la kiutendaji la mamlaka husika kwa maana ya TFDA na TBS. hao walitakiwa wajibu shutuma hizo. na wala hilo haliwezi kuwa excuse ya nchi kutokuagiza sukari nje kufidia gap lililopo.
Sote tunatambua ilani ya CCM na nia ya dhati ya Magufuli kufufua viwanda nchini. hilo halina shaka, lakini haliwezi kufanyika overnight. lazima liende taratibu na kwa umakini wa hali ya juu.
 
Nilichogundua ni kuwa hata Scenario yenyewe ya huyu Papa wa sukari nchini hujaipata vizuri, Yule ni supplier wa sukari ambaye anasupply kwa wafanyabiashara wengi jijini sasa huu mfano wako "duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan" una maana gani hasa kwenye Scenario hii..???
 
Kuna genious Abdallah Bulembo ni mshauri wake mkuu!!!!
 
Rais wangu Dr.JPM songa mbele wanyonge tuone raha ya maisha na sisi.
 
Bro..asante sana kwa bandiko lako mkuu awali ya yote naomba unitajie hyo filamu ya castro na mie niione ni moja kati ya watu nawapenda sans kuwafatilia..

Umeongea vizuri sana kuhusu magufuli ..tatizo la watu wengi sana ni kukosa ujasiri ns nafsi za kinafiki mtu alomnafiki muda wowote kwenye hali ngumu au vitisho hawezi kuutetea ukweli..ndicho kinachowakuta washauri wa mh...syo tu kwenye sukari ..hata kwwnye mambo mengne kwa mfano mpaka kufika wiki.ilopita mawaziri wake walikuwa bado hawajskabidhiwa instruments kisheria.kitu ambacho kinawanyima uhalali.kutekrleza majukumu yao kwa wizara walizoteuliwa..na wanajua kabisa kuwa rais hajawakabidhi takribani miezi sita..haya mwanasheris mkuu yupo waziri wa sheria ambae ni swahiba wake yupo..hawa wote wamegeuka waoga na hawawezi tena kuwa free minded kumshauri mh...sasa tunakwenda wapi nchi inakwwnda wapi?..bunge lingetakiwa sasa kumshauri lakin no room anymore limefichwa na kupokwa meno na nguvu yake..the one man show game for 5 yrs

Kuna filam inaitwa 'Fidel' na kuna filam inaitwa 'Che'..
huwa sikumbuki ipi kati ya hizo
 
Labda tuombe malaika Gabriel mkuu wa malaika wote, ashuke amshauri huyu 'malkia" wetu mpya wa Tanzania. Hakuna mwingine yeye kasema aombewe tu hahitaji ushauri wa mtu, maombi yanatosha.
 
Kwani wewe Raisi Magufuli kama binadamu amekukosea nini mpaka umchukie kiasi hicho, kwa maana umesema wanaompenda ina maana wewe haumpendi, sasa embu tuambie amekukosea nini kwa maana umekwenda mbali sana, hizi ni siasa tu fisadi Lowasa hakujui na wala hatominya hata kope yake jicho akisikia siku umeanguka, hivyo acha chuki kwa mtu usiyemjua kwa sababu ya siasa!

Kama simpendi haimaanishi namchukia
unaweza usimpende mtu na usimchukie pia....

Kuhusu 'wanaompenda'...hao ndo wataumia zaidi iwapo mambo yatamshinda
so ni their best interests Magufuli afanikiwe..na wao ndo watu sahihi kumshauri
since watatafuta lugha nzuri hadi awaelewe...

Sisi wengine tuko mbali kushauri chochote
 
Ukimkosoa unapewa all sorts of names. Mfumo wa "Zidumu fikra" na a "one man show" surrounded by "Yes men!" bado haujafutika.

Hakuna room ya kupinga idea zake, ukipinga utaitwa jipu au mhujumu uchumi. Lakini hoja yako haitajibiwa.

Ukiwa a decision maker lazima uwe na The "tenth" man! Kazi yake ni kuchallenge ushauri uliopewa na maamuzi uliyofanya. Hii inasaidia kujenga na kuboresha maamuzi yako. Unfortunately, hakuna huyo mtu. Kila mtu ni kuimba nyimbo za kusifia.

Wote tukiogopa kusema ukweli hii nchi itazidi kudidimia
lazima wawepo watu wa kuongea kitu hata kama watahukumiwa
 
mkuu usitetee tu mpaka ujinga. rais anatakiwa kuambiwa ukweli hata kama haupendi. hiyo ni kazi ya washauri wake na hata kama ningekuwa mimi ningekuwa tayari kupoteza hata kibarua kwa kulinda masilahi ya taifa. suala la upungufu wa sukari sio geni nchini kwa sababu viwanda vya ndani havikidhi mahitaji.
sasa fikiria hii kama sio aibu; wiki chache zilizopita rais alituambia sukari ya ndani itatosha hatuhitaji ya nje kupromote viwanda vya ndani (hiyo ni nia njema hakuna anayekataa)
lakini siku chache zilizopita bungeni waziri mkuu anatueleza kuwa nchi ina upungufu wa sukari na wameaagiza tani 100 nje. (tunarudi kulekule walikokukataa).
hivi ni kweli kulikuwa na ulazima wa kufika huku?
kuhusu ku-expire kwa sukari sijui kutoka Brazil, hilo ni suala la kiutendaji la mamlaka husika kwa maana ya TFDA na TBS. hao walitakiwa wajibu shutuma hizo. na wala hilo haliwezi kuwa excuse ya nchi kutokuagiza sukari nje kufidia gap lililopo.
Sote tunatambua ilani ya CCM na nia ya dhati ya Magufuli kufufua viwanda nchini. hilo halina shaka, lakini haliwezi kufanyika overnight. lazima liende taratibu na kwa umakini wa hali ya juu.

Na usikute TFDA na TBS hadi Rais anahutubia habari hizo hawakuwa na taarifa yoyote kuhusu sukari mbovu
na sasa labda walazimishwe 'kuunga mkono jitihada za Rais'
 
Na usikute TFDA na TBS hadi Rais anahutubia habari hizo hawakuwa na taarifa yoyote kuhusu sukari mbovu
na sasa labda walazimishwe 'kuunga mkono jitihada za Rais'
hata sishangai ikawa kweli na wao wameziona/zisikia kwenye TV kama sisi wakati rais akiongea na wananchi waliomsubiri barabarani.
We can do more than that kama kweli tutaamua kila kitu kwenda kwa taratibu zinazozingatia plan za muda mfupi, wakati na mrefu. otherwise tutapiga marktime sana kama taifa.
 
Kwani wewe Raisi Magufuli kama binadamu amekukosea nini mpaka umchukie kiasi hicho, kwa maana umesema wanaompenda ina maana wewe haumpendi, sasa embu tuambie amekukosea nini kwa maana umekwenda mbali sana, hizi ni siasa tu fisadi Lowasa hakujui na wala hatominya hata kope yake jicho akisikia siku umeanguka, hivyo acha chuki kwa mtu usiyemjua kwa sababu ya siasa!

Na wewe vipi mbona unaonekana kuwa na chuki sana na mleta mada?

Yaani unataka kutuaminisha hapa kuwa THE BOSS hamjui Rais Magufuli kweli mchana kweupe?

Wewe unamwona mwenzio ni tatizo kwa sbb tu ametumia uhuru wake kutoa mawazo yake juu ya utawala wa Rais Magufuli.

Ila mimi naomba nikupe ukweli wako kwa sbb msema ukweli ni mpenzi wa Mungu tu hapa ....... jitazame upya wewe mwenyewe ndiye tatizo ktk wewe mwenyewe!!
 
Kwani wewe Raisi Magufuli kama binadamu amekukosea nini mpaka umchukie kiasi hicho, kwa maana umesema wanaompenda ina maana wewe haumpendi, sasa embu tuambie amekukosea nini kwa maana umekwenda mbali sana, hizi ni siasa tu fisadi Lowasa hakujui na wala hatominya hata kope yake jicho akisikia siku umeanguka, hivyo acha chuki kwa mtu usiyemjua kwa sababu ya siasa!
hivi uataka kila mmoja amsifie magufuli humu? ni wajibu wetu kumkosoa. magufuli tumempigania sana kuanzia mitaani tunapokaa, kwenye mitandao ya kijamii mpaka kwenye sanduku la kura. ni wajibu wetu pia kuhakikisha anatimiza ndoto zetu kama wananchi. pale anapokosea lazima tumseme waziwazi bila kificho ili ajue kuwa waajiri wangu hawataki hili na wanataka lile.
kwa hiyo ukiona tunamkosoa huku haimaanishi tunamchukia. ni wajibu wetu ukizingatia hakuna binadamu aliyekamilia. na yeye ni wajibu wake kuyafanyia kazi kwa jinsi anavyoona inafaa lengo likiwa ni kulisogeza taifa hili mbele.
 
Mimi nipo tayari kumshauri wazi kabisa, hata kama atanichukia shauri take.

Kwa hili la sukari, namshauri weka hawa vibaka wa sukari ndani, uza sukari yao au gawa bure kama samaki.

Huwezi kuwa Rais, ukatoa maagizo kwa weredi tu, kwamba kweli tuna tatizo la sukari, serikali imeliona hilo na changamoto zake na imeamua agiza na itawauzia wasambazaji wakati mikakati ya muda mrefu inaendelea na hakuna haja ya kuficha wala kupanic. Kisha walanguzi fulani wanaficha, harafu uniambie ashauliwebkucheka nao!

Wajue hii si serikali ya .... Ni serious government which says what it mean and mean what it says. Mbona JK aliwaonya mapema ama hawakuelewa?
 
Kama kulikuwa na Sukari iliyoexpire iliingizwa nchini ni lini basi Magufuli atawatumbua wote waliohusika katika mamlaka za TFDA na TBS ili iwe fundisho?

Ni lini atayafikisha kortini Majipu haya?
 
Mkuu labda siyo mfanyabiashara ndo mana Povu linakutoka sana, then usipende kufkir kila kitu ni rahisi, Ngoja nikupe mfano: duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan mengi, sasa tatizo langu ni kwa hao watu kudanganya kwamba sukar imefichwa ni uwongo mkuu,

Na tumeambiwa bado alikuwa akiuza sukari tani 250 kwa siku...sasa sielewi walitaka auze tani 1000 kwa siku??????
 
Back
Top Bottom