GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye masuala kama haya, mara nyingi, top generals sio watu wa kutegemewa. They’re bloated and compromised!

Shakers and movers ni junior officers. Hawa ndio hufanya planning and execution ya military takeover of government.
 
Kwenye masuala kama haya, mara nyingi, top generals sio watu wa kutegemewa. They’re bloated and compromised!

Shakers and movers ni junior officers. Hawa ndio hufanya planning and execution ya military takeover of government.
Hao maofisa wa ngazi za chini wa JWTZ una imani nao kwamba wanaweza kufanya chochote kweli?
 
Hao maofisa wa ngazi za chini wa JWTZ una imani nao kwamba wanaweza kufanya chochote kweli?
If they tried before, they can try again!

JWTZ at least imewahi kuwa na watoto wa kiume. Sijui kama bado inao. These brave men tried it (albeit unsuccessfully) in 1982: Capt. Mohamed Tamimu (Commando Tamimu), Capt. Hatibu Gandhi (Hatty McGhee), Capt. Christopher Kadego, Lt Eugene Maganga, Capt. Methuselah Suleiman Kamando, Capt. Vitalis Mapunda, Capt. Roderic Roberts, Lt. John Chitunguli, Lt. Mark Mkude, Capt. Oswald Mbogoro, Capt. Zacharia Hans Pope, Lt. Badru Kajaje, Lt. Gervas Rweyongeza, Lt. Otmar Haule, Lt. Nimrod Faraji.
 
Nadhani swali la muhimu ni kwanini watu wanapenda kuiga na kusifia siasa za Kenya, lakini hawataki ona upinzani wa Kenya haujawahi fikiria wa kuwaza kupata msaada wa vyombo vya ulinzi? Wao wana shida gani ktk hoja zao mpaka waone majeshi ndio njia sahihi ya kufikia malengo yao?
 
Asa kama watu wanatekwa,kuuawa na kupotezwa ndani ya nchi kwanini tusiombe wa nje wajr kutulinda
 

Umesema kweli kabisa na la kusikitisha wakati wanajeshi wa Tanganyika walitumiwa kumteka Jecha huku Zanzibar wengi humu walikuwa wakicheka na kufurahi . Wakati Jeshi limetumiwa kupiga watu likishirikiana na jeshi la Burundi hapa Zanzibar mwaka 2020 watu walikuwa kimya . Kwa hivyo usitegemee jeshi kufanya chochote huko Tanganyika , na wao wamezee tu
 
Una ambiwa chief wa kike kawapandisha mshahara mara tatu tatu km motisha ya kudeal na watu watakao kengeuka tar 29
 
Wanajeshi wanao lambishwa asali ni Wale wajuu kabisa, Hawa wachini wote ni njaa tu kama sisi.

Uzuri tunaishi nao mtaani nao wanalalamika tu kama sisi.

Kama raia watachukua hatua, lazima kuna vikosi vitaungana nao tu
Lawana nyingi kama sisi wapiga kura tu
 
Kiufuo hatunab jeshi wala TISS. Jeshi gani linapigwa na M23 mpaka captain anarudi njia ya Rwanda anakaguliwa na polisi. TISS gani badala ya kumshauri rais mnachukua order na kufanya anachotaka. TISS inatakiwa impe taarifa rais halafu ime options ya nini kifanyike na sio kuchukua order.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…