GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata mi nikiwaambia wenzangu ningumu sana kwa jeshi la Tz . Acha tuendelee kutawaliwa na wana mtandao wasiozidi 20
 
Kumbe kuna video Captain Mosha?

Tuambie kuhusu video ya Captain Tesha.

Hiyo ya Mosha hatuijui

Nyani Ngabu fal@ sana
 
Uko sawa Mkuu sema watu wanakubagaza tu. Oath of allegiance ya JWTZ hii hapa:-

Kiapo hicho hulenga mambo yafuatayo:

1. Utii kwa Katiba na Serikali halali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Kulinda uhuru, mipaka na maslahi ya taifa.

3. Kufuata amri halali za viongozi wa kijeshi.

4. Kutunza siri za kijeshi na kuepuka usaliti.

5. Kudumisha nidhamu, uadilifu na heshima kwa raia.

6. Kujitolea maisha kwa ajili ya taifa.

Mytake:
Hayo ambayo watu wa JF, Instagram na Twitter wanayotaka yatokee siyo sehemu ya kiapo chao
 
Chai
 
TZ wananchi wanategemea jeshi liwasaidie. Jeshi nalo linategemea wananchi walisaidie. Ni kihoja.
 
JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.
Kama ni mafisadi na wameonjeshwa asali basi wanaweza taka kuunga mkono wananchi ili sasa badala ya kuonjeshwa washike buyu zima la asali. Lakini pia kama ni mafisadi basi watatamani wapindue ili huo ufisadi unaofanyika waufanye wao kuliko wanasiasa!

So for them it's a win-win either way
 
Kwahio Jeshi lingechukua hao watu ndio wangekula na wanajeshi (kwamba things would have been better) ?

Au ndio zile kama Chess mtu unasogezewa Pawn unakula kwa kushangilia kumbe unampa upenyo mtu atakutandika mpaka Check Mate....
 
Jeshi lili muhasi Nyerere akaenda kujifisha Mashimoni, Sembuse Nani sasa?

They just need the right course.
Huwezi fananisha kipindi hiko na sasa,now jeshi lenyewe linatubumiwa kiongozi wake anakula na wakubwa ,we angalia kesi ile ya Mbowe ya ugaidi kuna wanajeshi waliteswa na polisi kisa wakubali uongo na jeshi lilikua kimya halijatetea wenzao.
 
True, Watz wengi bado ni vilaza na huo udhaifu ndio wanautumia Viongozi
 
Ajabu tunaenda kulinda wananchi wa congo huku sisi tunatekwa tunachukuliwa km njiwa na watu wanatajwa kabisa wanaohusika lakini Jeshi limejizima data .....kamateni mmoja mtandikeni ipasavyo atawataja wapumbavu wenzakr wanao ua watz ...Jeshi la wananchi mnatuangusha sana sisi wananchi.
 
jeshi kuwa upande wa Sa100 ni kukubali kupoteza wasifa wao , wasipolijua hili mapema bas wakajionee kule Sudan namba Al Bashir alivyolibagaza jesgi lake
 
Unajuwa; huyo jamaa ni mchokonozi tu, anayejifanya hazimtoshi kichwani huku akitamani kitokee anachojifanya haamini kitatokea.

Huyo na baadhi ndivyo walivyo.

Hakuna aanaye tegemea jeshi. Kinacho tegemewa ni Jeshi lisiwasumbue waTanzania wakati wakifanya kazi yao ya kuuangusha huu utawala wa waovu; na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
 
Kwasababu wa Tz wengi wana tabia za kinyumbu hawawezi kukuelewa
 
Kwasababu wa Tz wengi wana tabia za kinyumbu hawawezi kukuelewa
Nyumbu hao hao, safari hii mtawaelewa tu.
Watatumia akili hiyo hiyo ya kinyumbu; mkusanyiko mkubwa na kukanyagakanyaga takataka kama nyinyi chini ya miguu yao.
 
Hii nchi ilipaswa kupitiwa na gharika la nuhu ianze na kizazi kipyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…