Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,931
- 141,891
Ni kweli. Ila karibu wote hao wa chini ni vilaza mno.Wanajeshi wanao lambishwa asali ni Wale wajuu kabisa, Hawa wachini wote ni njaa tu kama sisi.
Uzuri tunaishi nao mtaani nao wanalalamika tu kama sisi.
Kama raia watachukua hatua, lazima kuna vikosi vitaungana nao tu
Ni kweli. Ila karibu wote hao wa chini ni vilaza mno.
I’ll believe it when I see it.Mambo yana badilika mzee Samia ni worse kupitiliza hata jeshi linaweza pia kujitenga dhidi ya upuuzi wake na kuunga mkono mabadiliko.
Mara nyingi napenda kutumia mfano wa Jiang Qing kwa sababu unafanana na utawala wa Samia moja ya taasisi ilishiriki anguko la Jiang Qing na utawala wake ni jeshi la China mind you nchi za kikomunisti kufika point jeshi kujitenga nawe ujue umevuka kipimo.
HIV kwani wanajeshi wa Tanzania mishahara yao ikoje ukilinganisha na wafanyakazi wa sekta zingine?Nakubaliana na wewe kwa asilimia fulani ,mimi naona ili jeshi lisaidie wananchi ni mpaka pale serikali itakaposhindwa kuwalipa mshahara na marupurupu yao,wakipata huo mbinyo kesho utawaona magogoni pale.
They are the dumbest people in the country, by far.Naona unawabagaza na kuwabananga wanetu wajeda.
Atleast iko sawa kuliko Afya,polisi na Walimu ...nasikia asiyekua na cheo chochote anapewa zaidi ya 900k.HIV kwani wanajeshi wa Tanzania mishahara yao ikoje ukilinganisha na wafanyakazi wa sekta zingine?
Imagine wanajeshi wanaambiwa wafanye usafi ilhali tuna magereza yenye wafungwa tele!Uko sahihi mtoa mada kama wanajeshi wanaambiwa wafanye usafi siku ya maandamano ya amani na jeshi wanakubali lengo ni kuzuia maandamano indirectly.
Kwa Tanzania tusubiri labda miaka 100 ijayo tukiwa hatupo
Watu kibao humu wamelitaka jeshi lichukue nchi!Nani kakwambia watz tunategemea jeshi ili kujikomboa? Kwa taarifa yako watz wakiamka kudai ukombozi dhidi ya hii serikali ya ufisadi hakuna wa kuwazuia. Ni kwamba tu ccm bado imeshikilia vichwa vingi vya watz wasio jua lolote linaloendelea katika nchi yao.
Unajua nchi za namna ya Tanzania zinaweza fanya mabadiliko bila hata maandamano ya namna hio mtu anaweza tolewa ikulu kwa kikao cha kimkakati hii ilimkuta Jiang Qing na genge lake na wakaishia jela wanaelekeana kabisa na Samia na genge lakeI’ll believe it when I see it.
Until then, hamna kitu hapo.
Bila maandamano kama yale ya Tahrir Square, hakuna kitachobadilika.
Kwa hiyo unadhani hilo linawezekana hapa Tanzania?Unajua nchi za namna ya Tanzania zinaweza fanya mabadiliko bila hata maandamano ya namna hio mtu anaweza tolewa ikulu kwa kikao cha kimkakati hii ilimkuta Jiang Qing na genge lake na wakaishia jela wanaelekeana kabisa na Samia na genge lake