Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.
waambieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...........ukizima taa ukarusha jiwe ukisikia yala ujue lishampata. yan ukisikia mtu analalamika ujue lishampata .
mimi nimepanga kuoa mwakani. nitakuwa na 28
Kuoa + kuzaa!
Kama kuna mkanganyiko vile!
...
Hauwezi kumlaumu mtu hajaolewa! Labda umlaumu kwa nini kakataa kuolewa!!
...
Mashaxizo nimezeeka sana! Eti jamen mtu lazima aolewe/aoe ndio azae?
Pamoja na matangazo yote ya hapo 'Love Connect' bado tu hujapata?Sasa kama hatujapata wa kutuoa tujioe wenyewe?
Hebu utuache tupumuwe!!!!
Ndio naliandaa nikawekePamoja na matangazo yote ya hapo 'Love Connect' bado tu hujapata?
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.
Siku hiz hakuna mapenzi haina haja ya mtu kukimbilia kuolewa/kuoa watu wote matapeli wa mapenzi
Ndio naliandaa nikaweke