Mnaokataa Chato isiwe mkoa, kuna swali moja kwenu

Shule zetu hizi nazo ni majnga matupu; we jamaa si una degree ya SAUT? So kama kuna kosa tumewahi kulifanya then tuendelee kulifanya kwasababu huko nyuma tuliwahi kukosea!
Kusoma Kwangu SAUT na Kuleta hapa walichokihoji wakazi wa Chato vina 'Logical Connection' ipi? Pumbavu.,...!!
 
pwani unaijua?
 
Harafu ikiwepo mikoa 100, wewe unapata hasara gani mdanganyika?
 

Mimi mpaka leo sioni faida wala hasara ya kuwa na mkoa wa Chato. Sana sana ni watu kupeana ulaji. Hata wasipopeana kupitia mkoa wa Chato watatafuta njia nyingine! Kama tungekuwa na KATIBA inayoheshimika tungeweza kulijadili hili kwa vigezo...mwisho wa siku atakayeamua ni mama na wanasiasa wenzake. Wengi hata tungekuwa na hoja za msingi tunaonekana tuna chuki kwa Hayati!
 


Ili mkoa uwe mkoa inahitajika nini??

Vigezo ni vipi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…