akilinzuri
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 387
- 425
Na kwenye tamthilia ya kifilipino,Mahusiano ya hvyo yanapatikana kwa wingi sana huko mbinguni
Na kwenye tamthilia ya kifilipino,Mahusiano ya hvyo yanapatikana kwa wingi sana huko mbinguni
Wewe una akili timamu? Unavyoishi na mtu wako usitake kila mtu aishi hivyo, amekosea uombe msamaha wewe? What a stupidity? Kwa hilo hapana. Atasifiwa tu kama anastahili, na si vinginevyo.Rahisi kuishi na hawa watu zingatia yafuatayo:
1. Usichoke kuwasifia.
2. Usipuuze vipaumbele vyao, ahidi tu hata kama huna uwezo wa kutimiza.
3. Usichoke kuomba msamaha hata kama hujakosea. Hata kama kakukosea wewe omba msamaha.
4. Usiwe mtu wa kukosoa zaidi zaidi sifia, kama haiwezekani tia moyo.
Nahisi mzigo anapewa kwa codesKinachokuchosha ni nini sasa?
Ishi nao kwa akili ukiona umeshindwa ujuwe huna akili
yeye hana akili au wao ndio hawana akili!!Ishi nao kwa akili ukiona umeshindwa ujuwe huna akili
Kama mwanamke wako unakiri Hana shida.
Basi wewe utakuwa unatatizo la upungufu wa nguvu za kuime
Hahaha mkuu unafeli wapi? Wanawake raha sana kuishi nao hujui tu.
Asee wewe sio wa kuoa.
You need relationship but not seriously relationship. Be yourself.

Ila babu yangu anaroho ngumu huwezi amini mpaka leo bado anaishi na bibi
Mkuu ullianzaje kuishi nae
Tuanzie hapo
Hukujishauri vizuri kabla hujaishi naye
HIYO KITU IPO ASEE ...
SISHANGAI ,
ME HUWA STAKI ATA KUSKIA HAYO MAMBO YA KUISHI NA MWANAMKE...
unaweza ukaf k s t r e s s.
Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
Mi nilikaa miaka miwili ilikuwa kama miaka 20..
Saiz sitaki kabisa kusikia hizo habari.. shida ya wanawake unamchukua umsitiri tu matokeo yake anaanza kutaka kukutawala.
Mwanamke hana tatizo lolote, jamaa kashachoka, sasa ukimpa hii orodha atakuwa na hali gani?
