Asee wewe sio wa kuoa.Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
You need relationship but not seriously relationship. Be yourself.Ili hali tu yakugandana
Ila babu yangu anaroho ngumu huwezi amini mpaka leo bado anaishi na bibiAisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
"Ishiini nao kwa akili ",ukiona huwezi jitizame.Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
Mwanamke hana tatizo lolote, jamaa kashachoka, sasa ukimpa hii orodha atakuwa na hali gani?Rahisi kuishi na hawa watu zingatia yafuatayo:
1. Usichoke kuwasifia.
2. Usipuuze vipaumbele vyao, ahidi tu hata kama huna uwezo wa kutimiza.
3. Usichoke kuomba msamaha hata kama hujakosea. Hata kama kakukosea wewe omba msamaha.
4. Usiwe mtu wa kukosoa zaidi zaidi sifia, kama haiwezekani tia moyo.