Mnaojiita wasomi hili lenu

Mnaojiita wasomi hili lenu

Zipo nyingi mkuu kama hutaki kuelewa endelea kusubiri na vyeti vyako
Sawa nakubali zipo nyingi, sasa si uweke abstract hapa tuzione? Abstracts huwa hazifichwi, hata kwenye copyrighted works bado unapewa abstracts. Leta cheti baba, maneno mengi ya nini?
 
Mawakili wasomi waje na majibu hapa.

My Wealth.jpg
 
Mbona kwenye inasemekana karibu asilimia 75 ya matajiri wote marekani hawana degree? Mfano ni Bill Gates mwenyewe. Na hapa Tz ni vivyo hivyo. The richest people have at best just one degree.
 
Back
Top Bottom