Mnaojiita wasomi hili lenu

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
886
500
Nimefanya tafiti zangu nikagundua sisi wenye vielimu vyetu kadigree kamoja tunatusua kuliko wenye maelimu makubwa
Hebu tusaidiane nini sababu ili tuwaelekeze vyema watoto wetu nini cha kufanya maana wasomi wengi wa kitanzania sio wabunifu kabisa
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,533
2,000

Wanafikiria A na B+ muda huo wenzao wanafikiria $.
 
dingimtoto

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
8,891
2,000
Nimefanya tafiti zangu nikagundua sisi wenye vielimu vyetu kadigree kamoja tunatusua kuliko wenye maelimu makubwa
Hebu tusaidiane nini sababu ili tuwaelekeze vyema watoto wetu nini cha kufanya maana wasomi wengi wa kitanzania sio wabunifu kabisa
Hili sidhan kam lina ukwel ndan yake umefanya utafit upi?
 
Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,464
2,000
Sifa ya msomi/mafanikio ya msomi ni pale anapohitimu salama masomo yake yale ya ngazi ya juu.

Lakini hawa L...Y (la saba C)... Wao mafanikio yao ni pale anapofungua biashara na anapata pesa nyingi kupitia biashara zake...au akianzisha shughuri basi imfanikishe kupata pesa kwa kiwango cha juu sana.

Ndio maana tuna tofauti sana....siye akina YES ...NO...!. Tunaishia kupendeza kwa mavazi na tai, wenzetu watunisha mifuko...jioni wanaoga....asubuhi yake ni kazi baada ya kazi....jioni mahesabu na kuoga.

NB: nmejitolea km mfano..ila mm sipo hivyo
 
Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,428
2,000
Elimu ni pana ndugu! Ww Unaweza kuwa na degree moja tena ya ustawi wa jamii mie nikawa Nina ka grade tu ka veta halafu nikajiajiri nikawa napiga Pesa nyingi kwa siku Kuliko Wewe! Kutusua Inategemea umesomea nini..... Sio mradi degree tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom