Mnaojiita wasomi hili lenu

Ngoja JPM ataendelea kuwaonyesha thamani ya elimu. Una degree halafu unatoa hoja nyepesi kiasi hiki kuhadaa elimu hiyohiyo. Subiri muda utasema
 
Nimefanya tafiti zangu nikagundua sisi wenye vielimu vyetu kadigree kamoja tunatusua kuliko wenye maelimu makubwa. Hebu tusaidiane nini sababu ili tuwaelekeze vyema watoto wetu nini cha kufanya maana wasomi wengi wa kitanzania sio wabunifu kabisa
Umefanya tafiti ngapi hizo? Titles za tafiti zinasomekaje ili ikihitajika tufanye citation na referencing? Weka abstract hapa tuangalie taswira ya machapisho ya tafiti zako
 
Umefanya tafiti ngapi hizo? Titles za tafiti zinasomekaje ili ikihitajika tufanye citation na referencing? Weka abstract hapa tuangalie taswira ya machapisho ya tafiti zako
Bado hujamwelewa tuuu yeye kashasema yeye sio msomi, kwahyo sioni haja ya kumlaumu.
 
Nimependa ulivyoandika. TETESI halafu ndani ya tetesi kuna utafiti.

Kuna shida mahali kwa hawa wasomi wetu.
 
Hapa kuna nadharia nyingi na ni bora tukawa specific ili hoja iwe mashiko.

Unaloliongea linaweza kuwa kuwa kweli au lah!

Jibu la swahi litakalorizisha lazima liwe zao la tafiti...

Na utafiti huo utapimwa kwa ulari wake njia iliyotumika kukusanya data hizo( R/method)

Sasa unapokuja na hitimisho la jumla hivyo kuwa degree holder wametusua kuliko masters na PhD holder....ebu justify ua claim.

Mm kwa mfano mdogo tu Rais wetu....namuona katusua na ni PhD holder.

Wengine watakuulliza mbona Std vii ....wanamiliki pesa mingi tu kuliko hao wa degree?
Plz jipange upya ulete hoja yenye mashiko....
 
Biashara ikikuvuriga, ukapata loss, pressure juu, unarudi kwa wanaojua A na B+ ili wakusaidie kutetea uhai wako,
Muda huo wakifanya kazi kutetea uhai wangu wanawaza ntawalipa shs/$ ngapi.

Kwa hiyo utakuja gundua kuwa kusoma sana ni biashara ambayo haina faida kubwa duniani ingawa ndo inachochea biashara nyingine kuwa na faida kubwa duniani.
 
Mimi Nina Masters Ya Jkua Sina Kazi Namiliki Eka 7 Za Papaya Na Export East Afrique Yote Mpo Nakula Bata Bukini Kwa Mrija
 
Attachments

  • Papaya Trees.jpeg
    Papaya Trees.jpeg
    50.5 KB · Views: 33
Sisi La saba B vipi mkuu
Mkuu kujua kusoma na kuandika kunaweza kukutosha sana katika maisha ukijikubali,ukajitambua na kubainisha unachotaka maishani mwako.Ni tofauti na watu wanaojiita wasomi na mavyeti lukuki wakijinasibu kuwa wamesoma huku hawana chochote waalichobuni wanategemea kuajiriwa walipwe mishahara
 
ahaa kumbe ndio hivyo...
 
Hili sidhan kam lina ukwel ndan yake umefanya utafit upi?
Mfano nzuri ni bilionea wa kimarekani Bill gate na wengine matajiri hata walioko haba Africa ukifuatilia education status zao za kawaida sana ila mkwanja walionao ni hatari
 
Umefanya tafiti ngapi hizo? Titles za tafiti zinasomekaje ili ikihitajika tufanye citation na referencing? Weka abstract hapa tuangalie taswira ya machapisho ya tafiti zako
Zipo nyingi mkuu kama hutaki kuelewa endelea kusubiri na vyeti vyako
 
Back
Top Bottom