isayaj
Senior Member
- May 10, 2022
- 156
- 150
- Thread starter
- #21
anapigishwa pushapuKuna demu nmemuacha bongo, sema katoto chakimbulu sijajua atakuwa yuko anafanyishwa mazoezi au kamelala
Sent using Jamii Forums mobile app
anapigishwa pushapuKuna demu nmemuacha bongo, sema katoto chakimbulu sijajua atakuwa yuko anafanyishwa mazoezi au kamelala
Amtie kwenye kibini watembee
kweli wanawake hawana hurumaTawanyikeni mkatafute ridhiki kwenye uso wa dunia.
Huyo mume akikosa kazi akikaa home mwezi, huyo mke anaweza mkimbia
Sasa si Bora akimbie maana anaweza kumuua jamaa kwa ukimwiTawanyikeni mkatafute ridhiki kwenye uso wa dunia.
Huyo mume akikosa kazi akikaa home mwezi, huyo mke anaweza mkimbia
Jirani yangu yaani umekuja kunitangaza huku!!!Natumaini wazma wa afya huko mliko niende moja kwa moja ndoa zina mambo mengi sana kuna mda kama kijana naogopa siku nikiingia kwenye kifungo hiki nmepanga na jirani yangu hapa nahisi anafanya kazi za magari yanayo vuka mipaka ya Tanzania jamaa anamaliza miezi haonekan mke wake mpole ila analiwa kila siku huku sipendi kufatilia maisha ya watu ila nimeona nmshitue kama yupo humu ajue mkewe anapigwa mda huu wahuni wanakamia wakezenu
Sent using Jamii Forums mobile apj
jamaa hajui kama mkewe anagawaSasa si Bora akimbie maana anaweza kumuua jamaa kwa ukimwi
jirani tatizo unagawa sanaJirani yangu yaani umekuja kunitangaza huku!!!
Mwanaume popote kambi wewe unataka ukae nyumbani daily hiyo sio kinga ya mke wako kutokusaliti.
Madereva wanaenda Kongo miezi 3, Mabaharia wanakaa nje ya nchi miezi 6/9/12, kuna wadau wapo Msumbiji zaidi ya miaka 3 hawawazi hilo wazo la mke kusaliti.
Chagua mapenzi au maendeleo
PesaChagua k ama pesa [emoji28]noted
Hapana endelea na kazi mzee sie huku tutakusaidia kumkeep mke busyKwahio watu waache kazi walinde wake zao?
Mbona unaonekana Mbea mzoefu tu kaka? Sema hujajigundua yaani upo Professional kbs!sipendi kufatilia maisha ya watu ila nimeona nimshitue kama yupo humu ajue mkewe anapigwa muda
Kwa hiyo dereva wa roli liendalo Kongo aishi na mkewe kwenye hilo roli au?Ishi na mke wako sehemu unayofanyia kazi.
Maana ya ndoa sio kuishi mbali mbali.
Mke ni ubavu wa mume.. wanapaswa wawe pamoja kupeana mahitaji yao
UmemalizaMwanaume popote kambi wewe unataka ukae nyumbani daily hiyo sio kinga ya mke wako kutokusaliti.
Madereva wanaenda Kongo miezi 3, Mabaharia wanakaa nje ya nchi miezi 6/9/12, kuna wadau wapo Msumbiji zaidi ya miaka 3 hawawazi hilo wazo la mke kusaliti.
Chagua mapenzi au maendeleo