Mnaoenda Gym Kuvutia Warembo. Hii inawahusu

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
ecf1b10100835f91bf835205f7a84731.jpg
 
aise ni bongo hii hii?ukiwa na pesa kila kitu kinawezekana kasoro kununua uhai tu!
 
Huyo ni gavana wajimbo mmoja huko Naigeria amemuoa huyo mrembo mwaka uliopita Mr Buari na Mimi tulikuwepo
 
Hapo hakuna mapenzi wacheni kudanganyana. Huyo lamaa ziishe kama atamuona Huyo. Dawa yake ni kumzalisha mfululizo.
 
Back
Top Bottom