Mnaoenda field mashuleni mkumbuke kuna miaka 30

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Ni kipindi kingine tena ambapo wanafunzi wa vyuo vikuu wanaenda nyanjani kwenye mafunzo ya vitendo

Kwa wale walimu- wanafunzi,hasa wa jinsia ya kiume huwa wanaingia sana kwenye vishawishi hasa pale anapofika field akakutana na watoto wabichi

Hawa wanalimu-wanafunzi wanajikuta wanaanza tabia ya kutongoza wanafunzi au wanafunzi wengine wa kike huwatongoza walimu -wanafunzi na kujikuta wakifanya ngono ambayo wengine hufumaniwa na wananchi na kuingia matatani na wengine huwapa wanafunzi mimba na kujikuta kwenye matatizo

Nawakumbusha walimu wa field,muendapo field epukeni kutembea na watoto wa shule,kama mtoto ni mzuri, ulizia kama ana Dada ake ambaye sio mwanafunzi huenda wakafanana kwa uzuri ukamchukue kuliko huyu ambaye anavaa sketi

Miaka 30 mkumbuke pia epukeni kutembeza vipigo visivyo na maana yasije yakatokea yale ya Mbeya ukajikuta unaingia matatani

Asanteni
 
Nakumbuka kuna ticha mmoja niliwahi kula sana hela zake kiss tu nilimtongozea kademu kamoja
 
Bora Uwe Na Ndoa Ya Module Na Mwanachuo Mwenzako Kuliko Kushobokea Mwanafunzi
 
Mafisi aka Wakware nao wako tayari wanawangoja mabinti wa field wajisevie
Hahaha,na hii kweli huwa ipo,ndoa za walimu huwa zinapata wakati mgumu sana kipindi hiki
 
yule mwalimu nani aliekuwa anatafutwa anaekumbuka anijuze aliekula maembe na chumvi kabla hayajaaza kuiva
 
Umetoa angalizo zuri sana,

Kusema kweli hivi vibint vya siku hizi ni vizuri sana, inahitaji roho ya paka kujizuia matamanio zidi yao(kwani wengine wanakushawishi makusudi tu)

Usije ukajidanganya akakushawishi na Mwalimu ukakubali na ukadhani itakuwa siri ya nyie wawili, lazima atawaambia na wenzie usishangae shule nzima wakajua.

Mkajikaze kiume, ikiwezekana msivae suruali za jeans( babu akisimama tayali umeadhirika)
 
Ni kipindi kingine tena ambapo wanafunzi wa vyuo vikuu wanaenda nyanjani kwenye mafunzo ya vitendo

Kwa wale walimu- wanafunzi,hasa wa jinsia ya kiume huwa wanaingia sana kwenye vishawishi hasa pale anapofika field akakutana na watoto wabichi

Hawa wanalimu-wanafunzi wanajikuta wanaanza tabia ya kutongoza wanafunzi au wanafunzi wengine wa kike huwatongoza walimu -wanafunzi na kujikuta wakifanya ngono ambayo wengine hufumaniwa na wananchi na kuingia matatani na wengine huwapa wanafunzi mimba na kujikuta kwenye matatizo

Nawakumbusha walimu wa field,muendapo field epukeni kutembea na watoto wa shule,kama mtoto ni mzuri, ulizia kama ana Dada ake ambaye sio mwanafunzi huenda wakafanana kwa uzuri ukamchukue kuliko huyu ambaye anavaa sketi

Miaka 30 mkumbuke pia epukeni kutembeza vipigo visivyo na maana yasije yakatokea yale ya Mbeya ukajikuta unaingia matatani

Asanteni
Mabinti Wenyewe Nao Wakifika Huko Ni Kujiachia Tu Na Walimu Au Wanakijiji
 
Bora Uwe Na Ndoa Ya Module Na Mwanachuo Mwenzako Kuliko Kushobokea Mwanafunzi
 
Kule Ulaya na kwa Trump ukikutwa na kosa hilo baada ya jela huruhusiwi kufanya kazi tena na the vulnerables. Hiyo degree sijuii cheti utakuwa unakiangalia sandukuni mpaka unaingia kaburini.
 
Back
Top Bottom