Mnaoenda field mashuleni mkumbuke kuna miaka 30

Mnaoenda field mashuleni mkumbuke kuna miaka 30

Kuna jamaa yangu alishawahi kwenda kufanyia field Rombo,yalimkuta ya kumkuta nikashangaa sura yake imetokea kwenye Kilimanjaro blog na title "Mwalimu abaka"
 
Kuna jamaa yangu alishawahi kwenda kufanyia field Rombo,yalimkuta ya kumkuta nikashangaa sura yake imetokea kwenye Kilimanjaro blog na title "Mwalimu abaka"
[emoji2] [emoji3]
 
Kule Ulaya na kwa Trump ukikutwa na kosa hilo baada ya jela huruhusiwi kufanya kazi tena na the vulnerable. Huyo degree sijuii cheti utakuwa unakiangalia sandukuni mpaka unaingia kaburini.
Umepigwa miaka 30 unafikiri utakuja fanya hiyo kazi tena?
 
"Marupurupu yenyewe ya kuwa mwalimu ndo kuwala hao watoto wabichi "


Kuweni makini sana wadogo zangu mnaokwenda field ,hiyo nukuu hapo juu muiogope sana.
 
Back
Top Bottom