Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Mimi binafsi siwez lala bila mto

Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi

Siwez lala taa ina waka

Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke

Siwez lala uku mziki una imba no

Ninyi wengine mna wezaje?
 
Mimi siwezi kulala bila kujifunika shuka hata kuwe na joto kiasi gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…