Mnanyima watoto kusoma kisa CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnanyima watoto kusoma kisa CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, May 12, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii ndo serikali ya ccm,...eti ukichagua upinzani haupati huduma?
  kwa hili naomba chadema mkomae na serikali mpaka kieleweke,hata
  kama ni kuwashawishi wananchi hawa waandamane ili shule ifunguliwe,...

  Soma:Wabunge Chadema wageuka mbogo


  WABUNGE wawili wa Chadema jana walikuwa mbogo baada ya kufanya ziara katika Kijiji cha Lusaka, Jimbo la Kwela, mkoani Rukwa na kubaini Shule ya Sekondari Lusaka imefungwa bila maelezo.Mbali na hilo wabunge hao waliwaeleza wananchi kwamba wamebaini mbolea ya ruzuku inayotolewa na serikali ni ufisadi mtupu kwa sababu wananchi wanatozwa fedha nyingi kununua mbolea ya ruzuku.

  ...."Wananchi wa Kijiji cha Lusaka walilalamika mbele ya wabunge hao kwamba Serikali imekuwa ikiwanyanyasa na kibaya zaidi imefunga Shule ya Sekondari ya Kijiji hicho baada ya wananchi wa eneo hilo kumchagua Diwani wa Chadema."
   
 2. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhh!!! Kweli huo sasa ni unyanyasaji.... hicho ndo chama cha magamba at work wakileta maisha bora kwa kila mtanzania....
   
 3. s

  seniorita JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  That is outrageous and outright violation of human rights....serikali haiwezi kubagua watu due to their political orientation. Hilo halikubaliki kabisa kwani ni kuwarubuni watu kwamba wakichagua CCM ndio watapata huduma, kwani CCM ni serikali? Iam mad beyond expression na kweli nitafanya bidii in my small way kuwahamasisha watu wawachague viongozo waadilifu from the top to the bottom na sio hao wanaowarubuni watu kuchaguliwa kwa chama chao ili watoe huduma!!! Huduma ni haki ya kila MTANZANIA na watoa kodi. Yaaani mimi nikupe kodi ili jamaii inifaike kisha ninyimwe kilicho changu eti kwa sababu nimechagua chama kingine!!!! Serikali lazoma ifahamu kwamba they are giving back to community what the community has given and entrusted to them na sio favour....hilo lazima walifahamu. In fact kama ni favour basi ni wananchi ndio tunawafanyia wao favour kwa kuwapa vyeo na fedha za kujichana far more than us....
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwa nini ccm wanafanya ujinga kiasi hichi kwa nini tusiandamane saizi kikwette akitoka kwenye sherehe uganda akute wananchi wamechukua nchi yao kwa sababu ni ujinga kufunga shule eti kwa sababu diwani ni chadema inauma sana
   
 5. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashauri watu wa haki za binadamu pamoja na taasisi zisizo za kiserikali watalichukulia kwa uzito suala hili ikiwa ni pamoja na kuitaarifu jumuia ya kimataifa kuhusu unyama huu, nimesikitishwa sana tena sana. CDM ongezeeni pambano la kukomesha unyama huu.
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Sio huko tuu,mahali ambako CCM hawakuchaguliwa wanawabagua kimaendeleo eti kuwakomoa, mbona na kodi zetu mnazichukua zisuseni na hizo...huku ndiko kunaitwa amani bila haki..na ninyi ndo mtakaohatarisha amani yetu kwani uvumilivu una mwisho..
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa,hawa watu wa haki za kibinadamu inabidi nao pia wamulike huko
  ni kwanini watu wanyimwe huduma za kwa sababu ya siasa?
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  watu wakikimbilia dar si lamu wana lalamika tena,..
  hao watoto huko vijijini wanategemea future yao iwe vipi?

  Afu mtu ana akili timamu kabisa anashabikia ccm
   
 9. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hii habari imenigusa sana. We need to do something. This issue must not be let pass without special attention. The public and the international communities must be made aware of such violation of human right. Where is democracy in Tanzania and east Africa?With great disappointment, I condemn this violation and argue all of us (especially media) to make public react against this insanity done by ccm.
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kwa mtindo huo tutauana! Juzi nlisikia madiwani wa cdm kinondoni wanadai kuwa ktk kata za cdm bajeti imepakwepa,sikuchua uzito wa suala,sasa kwa habari ya Raya Ibrahim(MB) kuwa kata ya cdm shule zimefungwa ni upunguani mkubwa wa watawala wetu.
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  hawa vilaza bana.. mbona pale cdm iliposhika halmashauri watoto wote wanapelekwa shule bure bila kujali itikadi?
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nilishasema kuwa nchi hii inaongozwa na watu wenye ufinyu wa mawazo na wavivu kufikiri!
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kwa hali hii ccm na Serikali yake wanachochea vurugu kabisa,yaani mnafunga shule kisa wananchi wamemchagua diwani wa Chadema?Sasa bajeti mnazozitoa ktk wizara ya elimu zina kazi gani?Wananchi tusipochukua hatua kwa vitendo ni kazi bure
   
 14. N

  Nyabhurebheka Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamani Haki elimu kama muko umu jamvini tusaidieni kufikisha hiki kilio cha hao vijana taifa la leo wanaonyimwa haki yao ya msingi Hii serikali ya Magamba's inatumaliza sisi pamoja na kizazi chetu kijacho.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lazima wananchi wale nao pia waamke na kudai haki ya watoto wao,...
  sio kusubiri wabunge ambao hawa kuwachagua ndo wawatetee tu,haitoshi
   
 16. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya ni mambo ya ajabu sana alafu wanataka tushindane na nchi za kenya,rwanda,burundi na uganda,Lazima atau madhubuti ichukuliwe hili swala sio la kufumbia macho hata kidogo.Kwa mwenendo huu tutaendelea kuwa masikini milele na milele.
   
 17. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri habari hizi zimefika katika vyombo vya habari ili wananchi wa Tanzania wajue picha halisi ya ccm na kuwa inamuwakilisha nani.
   
 18. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ni habari mbaya sana. Ccm ni chama cha mashetani?! Binadamu hawawezi fanya hivyo.
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  no wonder wana ccm wanafulahia hili,eti ndio adhabu kwa kuwakataa!
  Some one with a gun please
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Watu hawana pakusemea na watanzania wamejengewa uoga hivyo kunahitajika mtu wa kuwaonyesha pakuanzia kumbuka watu hawa hata vyombo vya habari kwao ni shida kuwafikia lakini watu hawa wakipata pakuanzia amini usiami huwa ni wabaya kuliko wa mjini....
  juzi nilisia kuna kijiji walimchomoa mharifu kutoka kwenye ofisi ya kata na waka muua....
   
Loading...