fikramakini
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 247
- 60
Wana JF,
Wakati tukisoma shule hasa zile za msingi, tumesoma sana kuhusu unyanyasaji wa wakoloni, na tumeimbishwa nyimbo nyingi sana. Cha ajabu bado waandishi wanaandika athari za ukoloni!
Mimi ninapendekeza wale wenye kipaji cha uandishi kuanza kuandika kuhusu unyama na unyanyasaji wa CCM. Nimekasirika kusoma huku jamvini kwamba kata zilizochukuliwa na CDM zinanyanyaswa na serikali ya CCM. Ni vema haya matukio yakawa documented kwenye vitabu na nina uhakika kwamba vitatoa elimu uraia sana. Pia ikumbukwe magazeti ni ya kupita. Sio rahisi kua na reference ya gazeti la zamani la mwana halisi, lakini kitabu kikiandika manyanyaso ya CCM 1995- 2015 (Mfano) itasaidia sana kuweka record sawa hata kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha wakuu.