Nimemkumbuka mama yetu JOYCE BANDA sijui yupo wapi?

Nimemkumbuka mama yetu JOYCE BANDA sijui yupo wapi?

Tulitakiwa kufanya the same but kile chama raisi kuwa mwenyekiti pia wa chama ni tatizo sana kuwa na kofia zote mbili
 
si yule aliyetaka kuanzisha vita enzi za mzee wa msoga au nimejichanganya
Hapa nadhani anazungumziwa Joyce Banda wa nchi ya Wagagagigikoko anayetawala era ya Gen Z, anatawala mazezeta wenye machogo. Hiyo nchi hata CDF ni chawa wa mwana wa Joyce Banda.
 
Back
Top Bottom