Mnamfahamu huyu?


Sema mwisho wake ulikuwa mbaya. Halafu mamlaka hayaangalii sura Bali nafasi uliyonayo.
 
Sura ya kiume mpaka hakuona umuhimu wa mke bali mwanaume mwenzie!! Upuuzi mtupu!
 
Mtu yeyote ukimuuliza alipo Hitler atasema yupo Motoni. Lakini unaweza kukuta Jamaa ametulizana sehemu makini tu.
Hahahahaha mods wanatakiwa wai bold hii comment! Kwamba mwamba ame chill sehemu flan hivi amazing anakula upepo au sio?!
 
Sema mwisho wake ulikuwa mbaya. Halafu mamlaka hayaangalii sura Bali nafasi uliyonayo.
Tunaangalia impact aliyoleta kwa Ujerumani, na sio mwisho wake. Hope umeelewa. Mwisho wake kuwa mbaya au mzuri haikuhusu wewe.
 
Wacha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…