Mnakumbuka TRAVOLTA?!

Mnakumbuka TRAVOLTA?!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
mxcpgator-boot-photomanipulation.jpg

Kiatu la ukweli hili...
 
ukiwa mwalimu halafu unafundisha darasa la awali síjui kama utabaki na mwanafunzi ukiingia darasani!!!
 
Me nkivaa hicho ntajitisha mwenyewe kwa mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
bac mi nkajua unamzungumzia yule muigizaji bana .....lol
 
tatzo nikivaa kiatu km hiko wabongo hamkawii kuniita freemason
 
Kule USA kuna kitu wanaita Halloween party. Viatu kama hivi ndo mahala pake haswaaa.
 
Back
Top Bottom