kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,187
Mbona hujamalizia story my?Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako.
Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na mwanaume wangu tukawa tumeenda lodge sasa kwa huku mbele kama kuna Bar wanapika kitimoto nikawa nimemuagiza huyo kaka kitimoto nilichukua na namba yake ili iwe rahisi kumuagiza.
Sasa ile kitimoto ilichelewa nakumbuka nikawa nampigia namkumbusha atuletee maan nilikuwa nina ubao, sasa ikatokea yule mtu wangu akawa na haraka akaondoka, mimi nikabaki nikala nikawa navuta muda kidogo niondoke.
Yule kijana si akanipigia coz alimuona yule mtu alivyoondoka eti anataka aje nimpe, kuna watu ni wa ajabu sana jamani unapata ujasiri wapi kula alipokula mwenzio muda mchache tu uliyopita, hizi tamaa za ngono zitawaua vijana mnaofanya kazi nyumba za kulala wageni msipoweza kujicontrol.
si vijana wanasema haina makombo!?Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako.
Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na mwanaume wangu tukawa tumeenda lodge sasa kwa huku mbele kama kuna Bar wanapika kitimoto nikawa nimemuagiza huyo kaka kitimoto nilichukua na namba yake ili iwe rahisi kumuagiza.
Sasa ile kitimoto ilichelewa nakumbuka nikawa nampigia namkumbusha atuletee maan nilikuwa nina ubao, sasa ikatokea yule mtu wangu akawa na haraka akaondoka, mimi nikabaki nikala nikawa navuta muda kidogo niondoke.
Yule kijana si akanipigia coz alimuona yule mtu alivyoondoka eti anataka aje nimpe, kuna watu ni wa ajabu sana jamani unapata ujasiri wapi kula alipokula mwenzio muda mchache tu uliyopita, hizi tamaa za ngono zitawaua vijana mnaofanya kazi nyumba za kulala wageni msipoweza kujicontrol.
Samahani kuingilia mambo yako.....πKuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako.
Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na mwanaume wangu tukawa tumeenda lodge sasa kwa huku mbele kama kuna Bar wanapika kitimoto nikawa nimemuagiza huyo kaka kitimoto nilichukua na namba yake ili iwe rahisi kumuagiza.
Sasa ile kitimoto ilichelewa nakumbuka nikawa nampigia namkumbusha atuletee maan nilikuwa nina ubao, sasa ikatokea yule mtu wangu akawa na haraka akaondoka, mimi nikabaki nikala nikawa navuta muda kidogo niondoke.
Yule kijana si akanipigia coz alimuona yule mtu alivyoondoka eti anataka aje nimpe, kuna watu ni wa ajabu sana jamani unapata ujasiri wapi kula alipokula mwenzio muda mchache tu uliyopita, hizi tamaa za ngono zitawaua vijana mnaofanya kazi nyumba za kulala wageni msipoweza kujicontrol.
Nauza nini?π€
Samahani kuingilia mambo yako.....π
Huwa unauza?
Ukinijibu ndio nitakuja na mwendelezo
Haya majani ya Chai yamepotea sana aisee
Uache mara moja trump kazuia dawaNdo umekuja kunitangazia huku sio?
Anyway,nilipenda kile kijeans chako cha blue siku ile
Kilo moja ya nini?Huku kigamboni kilo 1 elfu 12
Kumbe!! ila mimi nimeyaonja kwenye uzi wako asee.Haya majani ya Chai yamepotea sana aisee
Sikumpa niliondoka zangu, siwezi kufanya upuuzi kama huoMbona hujamalizia story my?
Wala siyo chai nawakumbusha vijana waache uzinziKumbe!! ila mimi nimeyaonja kwenye uzi wako asee.
Hawaoni kinyaa kufanya hivyo?si vijana wanasema haina makombo!?
Sifikiri hata 25 umefika binti, ila stories zako za kutafunwa ni nyingi kama za mzee wa mwaka 47 ,ndio maana naona kama unatunyweshwa chai boraππWala siyo chai nawakumbusha vijana waache uzinzi
π€ππππ€£Nauza nini?