Mnakumbuka huyu jamaa?

Mnakumbuka huyu jamaa?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,452
Reaction score
36,547
Anaitwa ---- Yeung ( Tamka ---- Yang).Tulio kulia miaka ya tisini tutakuwa tunakumbuka umahiri wa huyu jamaa. Nilikuwa nikiangalia movie halafu stering akakumbana na huyu jamaa nilikuwa naishiwa nguvu sana kwa sababu nilikuwa najua huwa ndo utakuwa mwisho wa sterling.

Sasa hivi jamaa amekongoroka, tazama muonekano wake hapo chini

10847857_10152859241282482_4497597640256110153_n.jpg
 
Attachments

  • P-bolo_yeung_3654-1.gif
    P-bolo_yeung_3654-1.gif
    93.6 KB · Views: 183
Mi Namjua Kwa Jina La Boro Young
Huyo Alikuwa Na Mbwembwe Kwenye Muvi Ya Van Dame Blood sport
Jigo
 
P-----_yeung_3654-1.gif

Anaitwa ---- Yeung ( Tamka ---- Yang).Tulio kulia miaka ya tisini tutakuwa tunakumbuka umahiri wa huyu jamaa. Nilikuwa nikiangalia movie halafu stering akakumbana na huyu jamaa nilikuwa naishiwa nguvu sana kwa sababu nilikuwa najua huwa ndo utakuwa mwisho wa sterling.

Sasa hivi jamaa amekongoroka, tazama muonekano wake hapo chini

10847857_10152859241282482_4497597640256110153_n.jpg
We jamaa kiboko umemuibua wapi huyu co boro yang dah huyu jamaa co mchezo alikuwa hatari huyu zamani ilikuwa raha jamaniiiiiii
 
Huyo alikuwa cha Mtoto. Ila sema jamaa alikuwa anajua kutembeza mikono si kawaida.

Ni kama alirithi baada ya Bruce Lee na baadaye ndiyo wakaja Jet Li na Jackie Chan.

Kiboko ya kutesa Wanakijiiji alikuwa huyu chini, wakumbuka jina lake?

amjad-khan_1.jpg

Sasa anaitwa Marehemu Amjad Khan.
 
images

Alikuwepo na huyu anaitwa Sho Kosugi
 
Boro Yang! jamaa alikipiga mpaka na Bruce Lee! alikuwa bonge la mtu, misuli ya nguvu, hana huruma full hasira na anakata kata sio kawaida! Dah, so na Bruce Lee nae angekuwa mtu mzima sana sasa kama angeishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom