Mnakumbuka baiskeli za BMX?

Mnakumbuka baiskeli za BMX?

Duh,
BMX yangu ilikuwa mtama kwa watoto kudadeki!! Shiiit.....hivi iliishia wapi?
 
....................../´¯/)
....................,/¯../
.................../..../
............./´¯/'...'/´¯¯`·¸
........../'/.../..../......./¨¯\
........('(...´...´.... ¯~/'...')
.........\.................'...../
..........''...\.......... _.·´
............\..............(
..............\.............\.

Hiyo ni sifa duuu!

Kama sio ndumu mmhhhh.............
 
Du menigusa sana menikumbusha ndosi na mbegu za ubuyu, kukusanya nyenyele, na kusafisha choo kwasababu ya namba na chandimu uwanja wa barafu kazi kwelikweli.tumetoka mbali sana bakora 15 mpaka 20 kwa siku na amkomi
 
Mi nilianza na hii miaka ya 82's
20058492734DM-OD2605-1.jpg

hapo NN huniwezi wewe lazima ulikuwa na mkweche kabisa.
 
Nakumbuka bush mjomba alikuwa na kitu kama hiki nyuma anafunga radio kuubwa anasikiliza mziki huku akipalaza...alikuwa hagusi mtu.
200583120232157932.jpg
 
Eti mimi mtoto wa geti....ahahahahahahaaa.....mwenzenu nilikuwanachezea Lego.....wakati nyi mkichezea vindimu

NN Wewe unaonekana Ulikuwa Mtoto wa Kota kabisa sidhani kama Chandimu aka Sodo umecheza
 
....................../´¯/)
....................,/¯../
.................../..../
............./´¯/'...'/´¯¯`·¸
........../'/.../..../......./¨¯\
........('(...´...´.... ¯~/'...')
.........\.................'...../
..........''...\.......... _.·´
............\..............(
..............\.............\.

Hiyo ni sifa duuu!


Sasa Mwanamtama hicho kidole maana yake nini?
 
Kipindi hicho inauzwa shingapi maana nilikuwa naangalia salary slipt tu za 90s naona mia 9 elfu mbili elfu 35. Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom