Kwani picha imefafanua nini mkuu mpepai? Uchaguzi wa viongozi wa CCM? Kampeni za CCM? Maandamano ya wanaCCM kumpongeza raid kwa hatua mbalimbali anazozichukua? Picha inaweza kuashiria mambo mengi ambayo huenda siyo sahihi.saaa afafanue nini picha inajieleza we tarehe tajwa nenda palipotajwa utajifafanulia mwenyewe hapo