Nitakuwa Emaus center kuvunja soul ties na watu woote niliofanya nao mapenzi ili niwe huru.
Karibuni
Nitakuwa Emaus center tuki-show LOVE na kurudisha penzi lilipotea kati yangu mimi na YESU. Mbarikiwe sana.
Mimi,mamaa na wanangu tutaimalizia siku yetu Bonage resort i think its a good place to show love to the ones i love the most.Yaani mimi Natalia Guitar nikiweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na heart,wanangu wanapelekwa kwa bibi yao.
Nyumba nzima ni mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka kesho yake aninunulie gari mpya,nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .