demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Habari zenu wanajamnvi.
Leo watani zangu wamenitumia picha ya kikosi chao kikiwa kinajifua vilivyo huko Johannesburg, South Africa. Wakijinasibu kuwa wako tayari kabisa kuwavaa Yanga ya Kimataifa.
Picha:Simba wakiwa mazoezini Johannesburg, South Africa.
Picha:Yanga ya Kimataifa ikiwa kambini Uturuki miaka kadhaa iliyopita.
Binafsi nawatakia maandalizi mema watani zangu huko South Africa.