Mnafiki ishi nae kinafiki

Mi siwezi aisee,nikishajua huyu ni snitch namkata juu kwa juu akalale na baba yake huko🖕🏼
 
Sure, vp kiongoz kwema?? naon umeongea kwa hisia san
Dah mkuu kwema ila Misri kudraw na Iran imenipotezea hela kwenye kubet. Nilitaka Misri ishinde magoli matatu mkeka utiki niondoke na hela ya maana.

Wanafiki wengine ni South Africa sijui kwanini wamesonga mbele hatua za mtoano. Wapigwe tu na Canada.

Lakini nao wameshakuwa wanafiki. Vipi na wewe huko mishe zinaendaje?

Shukran za dhati.

adriz de mbusii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…