Mnafiki ishi nae kinafiki

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
814
Reaction score
1,646
Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki

Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
 
Sure, vp kiongoz kwema?? naon umeongea kwa hisia san
 
Pole sana mzigua itakuwa ndo wewe Mzigua90 maana sijakuona jukwaani kwa muda mrefu sana.

Dunia inamengi sana, na mtu sio wa kuamini kabisaa

Ila licha ya hivyo, usisahau kuna watu wema ambao ni wachache. Hivyo basi upitiapo changamoto usife moyo na ukachukia binadamu wote.
 
Ishu ipo kugundua huu ni unafiki na huu ni wema halisi..!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…