Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Ndicho nilichomshauri mtoa mada kuwa huyo amezoea kujiachia ni suala tu la kumfundisha. Mjifunze mnapolea watoto wenu hata kama mnavyo vyote wafundisheni kuwa na nidhamu. Sisi kwetu maji ya bwerere ila baba alikuwa anatugombeza sana akikuta tumefungulia mimaji inatiririka bila sababu, au ulikinga chombo kimejaa ila hujawahi kwenda kufunga anaweza hata kukuzaba kibao nikawa nashangaa huyu mzee maji yanamuuma nini wakati hata hayalipiwi bili? Sasa hivi ndio namuelewa
 
Personally sioni maana ya kumsema mtu akila, thats the only task every human being was created for. Tupo duniani ili tuishi na msosi ndio mafuta yenyewe ili mwili uwe na nguvu na hakuna kiwango maalum.
Wewe msikilize tu huyo Daby kuna siku humu alilalamika mtu alikula kopo zima la nini sijui ile
 

Bajeti ikiwa kali sana napo ni uchoyo inabidi kubalance mambo tu
Kama pesa ya kula ipo acha watu wale mi nimekaa na aunt yangu muda mrefu hajawahi nibania chakula na ananipa pesa nihemee vyakula navyotaka mimi
Kanifundisha vitu vingi sana kwa roho yake
 
Hahahahah huyo ndo wife matirio
Naye si ajua kaja kutumika kingono acha ajimwayemwaye
Mwanaume majukumu Babu weeh
Ukizingatia ukimchoka utamtema kama msemavyo na kuoa mwingine nadhani yuko sawa kabisa
 
Naona wife material umeshusha ka topic kidogo kuhusu bajeti[emoji16][emoji16]
 
Wewe msikilize tu huyo Daby kuna siku humu alilalamika mtu alikula kopo zima la nini sijui ile
Sikulalamika kula..nililalamika kula na kubakiza.

Ni sawa na kutumia jagi kunywea soda kisha unaibakiza ndani ya jagi.

Nani aje aimalize wakati wewe unaondoka leo leo.

Ila kama utaweza kuimaliza ni kheri.
 
Naona wife material umeshusha ka topic kidogo kuhusu bajeti[emoji16][emoji16]
Anakemea ufujaji vitu vya ndani ila kuomba hela na kuwatupia vijana matatizo yao ya kifedha wanaona sawa!
 
Kilo 3=3000g
30 days
100g per day!
Wewe utaua watoto,sio kwa ubahili huu.
 
Naona amepata fursa.
Unafuga mnyama asiyeliwa wala kufugika Brother.
Anajaribu kutikisa kiberiti chako kama kimejaa maana muda akihisi kimepungua anaenda kwa jirani kuomba.
Ishia naye nyumba za kulala wageni kama bado unampenda
 
Sio bajeti kali, ni ya kawaida tu kulingana na uchumi
 
No nimejiongeza ili nijue kama bajeti hio inafika RDA....utaua watoto
RDA ni nini? Lakini sijasema ndio principle yangu, inategemea na uchumi wa wakati huo na idadi ya watu. Kama uchumi unaruhusu mtu mmoja kula kilo nzima na wale tu
 
RDA ni nini? Lakini sijasema ndio principle yangu, inategemea na uchumi wa wakati huo na idadi ya watu. Kama uchumi unaruhusu mtu mmoja kula kilo nzima na wale tu
Required Dietary Allowance.....per day. haitakiwi kilo nzima per day
 
Wengine ukiwaelekeza wanakasirika. Nimewahi kuishi na mtu wa hivyo kwangu,anaweza akatenga maji ya kuoga kwenye gas yanachemka na haendi kuoga. Uzuri gas ilikua inakaribia kuisha. Sikununua nyngne mpaka alivyoondoka. Wanakera sana watu wa aina hii
 
Mbona simple tu anza kwenda sokoni mwenyewe kama wapemba na ukifua nguo hakikisha unahifadhi vizuri mapovu ya kufulia siku zinazofuata na akizingua ni kipigo hadi achakae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…