Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Sasa kuku si umwache ale ashibe??? Mtu hasemwi kwa kula.

Vingine kaa nae mfundishe labda kwenye familia yao hayo hakuyapitia.
 
Mkuu sidhani kama ni uchoyo, kupangilia budget muhimu. Lakini alitakiwa pia amwambie mwenzie kwamba hao kuku tumia mmoja huwenda mwenzie huwa anafikiri wameandaliwa kwaajili yake
Bajeti inamaana gani kama haujashiba? Nadhani kula ni kuridhika hapa sasa nimeshiba.....
 
Ha
Mkuu sidhani kama ni uchoyo, kupangilia budget muhimu. Lakini alitakiwa pia amwambie mwenzie kwamba hao kuku tumia mmoja huwenda mwenzie huwa anafikiri wameandaliwa kwaajili yake
Hahahah ila tu sio vyema kumsema mtu kwa maswala ya misosi bby, mtu ana njaa muache ale huenda hajatumia Albendazole mda mrefu labda minyoo imezidi. Ale tu akimaliza utanunua vingine, afterall unamfanyia vetting bado, kama unaona huendani na kasi yake anakula nyekundu ya bibi😀😀😀😀😀😅😅😂😂😂😂😂
 
Bajeti inamaana gani kama haujashiba? Nadhani kula ni kuridhika hapa sasa nimeshiba.....
Personally sioni maana ya kumsema mtu akila, thats the only task every human being was created for. Tupo duniani ili tuishi na msosi ndio mafuta yenyewe ili mwili uwe na nguvu na hakuna kiwango maalum.
 
Muoneshe kuwa vitu hivyo havidondoki kutoka hewani kama "mana" kwa wahenga wa nchi ya Hakikisha uweki umeme mwingi nunua kibahiri ili akifanya upimbavu wake umeme ukate akiwa anafua au anapiga pasi, na hakuna kununua mpka aondoke. Hakikisha fridge lina dagaaa, kitunguu na nyanya chache tu. Akidai hela mwambie mzee wa Chato kabana myanya yote hali tete, pia akiharibu mpige madogo katika utani kama kubadilika atabadirika otherwise mwambie mama hapa hapakufai sitaki kuingia kwenye lawama ya kupotezeana muda.
 
You have a point ila sio mambo ya kulalamika in such a bitchy tone. Address the issues kwa kuongea nae tu kawaida. Na sio vyote kuna ambavyo ni sensitive zaidi ila never speak of food katika yote.

Perhaps, bills and resources that are merely going into waste. Huenda hajawahi kufundishwa jinsi ya ku manage resources toka akiwa mdogo huyo manzi ama ni ugonjwa wa uzembe tu. Its a pain in the a$$ kwa kijana anaestruggle to make ends meet but huenda kwa baba yake vyote vilikuwa available effortlessly. Ni kuongea nae tu kama habadiliki atampata wa kufanana nae.
 
Kupenda ni ishu nyingne dada,skuhiz tunaish tuu kusegeza siku,mapenz ya kwel hakuna,namtaman tuu sabab mzur ana msambwanda
Hizo ndio gharama zake kamanda, watoto wenye matako makubwa si tunawaambiaga akili zao ni bi-product ya misosi wanayokula mkuu. Enjoy the booty stop complaining, you reap what you sow!😆😆😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unanijaribu...ila umezidisha sana hadi inaonekana kabisa haupo serious, ungetaja kilo 2 - 5 ungeniona saa kumi na mbili asubuhi
😂😂😂😂😂😂 ole wako!!!
 
Hahaha umeona ehh, thats not a manly attitude. Naweza connect huu ulalamishi na roho ya kimaskini tu. You can not raise arguments kuhusu mpenzi anakula sana and shit![emoji38][emoji38][emoji38]
Kikubwa awe anakula na kumaliza alichopika sio apike kisha amwage....

Kama anamaliza insmaana ongeza bajeti haiwatoshi.
 
Mtie mimba kisha mtelekeze awe single mother kufidia vitu vyako.
 
Kikubwa awe anakula na kumaliza alichopika sio apike kisha amwage....

Kama anamaliza insmaana ongeza bajeti haiwatoshi.
Yeah kama anakula kuku mzima na kuacha mifupa tu. Huyo hana shida mbaya tu asitupe msosi.
 
Hahaha tatizo najiangalia mimi bajeti yangu vile inakuwaga kali, nakumbuka siku za nyuma nilikuwaga nanunua samaki kilo tatu hiyo bajeti ya mwezi mzima, ukija na njaa njaa zako za kula kilo nzima kwa mara moja utanikwaza walah.
Sio uchoyo nadhani ni ubahili, mchoyo ye anakula mwingine anamfanyia mtima nyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…