Mnada....!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnada....!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OGOPASANA, Jul 15, 2011.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  1 - Sony BRAVIA LCD Flat Screen TV (INCH 32'') - Tsh 900,000.00

  2 - Whirlpool 2 Doors Fridge - Tsh 400,000.00

  3 - Super General SGW 626T Washing Machine - Tsh 500,000.00

  4 - Kabati ya vyombo size ya kati (iliyonunuliwa dukani) - Tsh 250,000.00

  5 - Kabati ya kupanga vitabu (iliyonunuliwa dukani) - Tsh 920,000.00

  6 - Super General SGC 5470 4 Burners Gas Stove with oven and griller - Tsh 500,000.00

  7 - Sofa ya watu 3 (kitambaa cha pundamilia) yenye mito midogo 6 - Tsh 250,000.00

  8 - Meza ya sebuleni ya kioo - Tsh 200,000.00

  9 - KenWood Music System Radio yenye spekers 4 kubwa - Tsh 400,000.00

  10 - Kabati la sebuleni kwa TV, Radio na kuweka vitu vingine (iliyonunuliwa dukani) - Tsh 500,000.00

  11 - DELL Latitude D 620 Laptop - Tsh 400,000.00

  12 - TV 2 (zenye chogo) (zote INCH 21'') - Tsh 400,000.00

  13 - Modern Mini Multi media Projector - Tsh 1,000,000.00

  14 - King Size Bed (vya hotelini) yenye vikabati 2 vidogo pembeni (futi 7 kwa 6) - Tsh 500,000.00

  15 - Dressing Table - Tsh 250,000.00

  16 - Meza ya kupigia pasi yenye kijikabati kwa chini (iliyonunuliwa dukani) - Tsh 180,000.00

  17 - Complete Dell Flat Screen Desktop (inch 19 monitor) - Tsh 400,000.00

  18 - GX 100 Toyota CRESTA ( T 850 BSJ ) - Tsh 7,500,000.00

  19 - Kabati kuubwa la nguo - Tsh 500,000.00

  NB: - Vitu vyote vipo nyumbani kwa mmiliki na vingi vimenunulia miezi mitatu iliyopita, kwa bahati mbaya au nzuri amepata safari ya kimasomo nje kwa miaka mitatu na anategemea kufanya kazi huko huko, ndo maana amechukua uamuzi wa kuviuza.
  - Bei zilizoorodheshwa hapo juu hazishuki wala kupandishwa.
  - Vitu vipo maeneo ya victoria

  Contact:

  0713 633 969
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu hi ni toploda na ni kg ngapi Super General SGW 626T Washing Machine - Tsh 500,000.00
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kama bei hazishuki wala kupandishwa mnada unapigwa vipi? I thought mnada ni highest bid anapewa?
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,394
  Trophy Points: 280
  Sasa unakosea kuita mnada,
  ungesema tu 'vitu vinauzwa'.
  Kiswahili kigumu sana kwa kweli.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  mkuu huu ni mnada au gulio. Ni lini mnada ukawa na bei? Utakuwa umekosea kuandika nazani, hii ni gulio
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i think these are indicative prices or may be this is the starting price and the highest bidder wins
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  bei ziko juu kaka...saaan hasa za tv
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,394
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujamsoma huyu jamaa vizuri,Anadai ''bei haishuki wala kuongezeka''.So these are neither indicative prices, nor minimum prices.They are ''fixed'' prices
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu huu sio mnada labda ungebandika tangazo la Sale Sale Sale, watu wangekuelewa vizuri! Mnada wowote lazima uwe na bei za ushindani
   
 10. u

  ureni JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivyo vitu si umeshavitumia wewe?umevitumia kwa miaka mingapi?katika bei zako umeconsider depreciation au unauza kwa kubuni?mfano hiyo tv kama umetumia zaidi ya miaka mitatu inabidi uscrap au ugawe bure,halafu hujatueleza kama hizo bizaa zako ni za kichina,kibongo au wapi?
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu nimekusoma

  i declare my comment to be null and void

  thanks
   
 12. M

  Malila JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Je nikikuletea mteja wa nguvu,cha juu nitapata?
   
 13. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Naomba mnisamehe kwa wale wenye uwezo wa kujua lugha, ninaweza kusema kuwa hivyo ni orodha ya vitu vinavyouzwa, na hadi bei hizo zimetolewa hapo, ni kwamba vimeshathaminishwa na kushushwa kulingana na ubora na thamani yake.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  mzee umeshndwa kulipia bandarini nini..
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,394
  Trophy Points: 280
  Lakini hiyo ''username'' yako mbona kama inatutahadharisha tuogope sana?Ni vitu halali kweli?Au hakuna uhusiano wowote na hivyo unavyouza?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  tv la chogolaki nne? hahaha
  haya madude hata madukani hayapo ww unauza bei hiyo hapo? lol
   
 17. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Mkuu nadhani ana maana ya tv mbili kwa laki nne, kwa hiyo wastani ni kama laki 2 kwa kila moja.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,404
  Trophy Points: 280
  Naona jamaa alikuwa anamaanisha "SELl a.ka VUNJA BEl"
   
Loading...