mnada wa hadhara!

mnada wa hadhara!

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
vitu vya kighoma malima kupigwa mnada
Bunduki moja ya kivita pamoja na risasi zake
Madini ya tanzanite na dhahabu
Chupi moja ya kike 'bikini'(haijulikani imeingiaje humu)!
Nyaraka mbalimbali za madili ya kuchimba madini na mafuta
Pete ya ndoa(cjui kwanini aliivua!):cool2:
 
napita nna haraka nitarudi jana alaa! kesho
 
Eneo la mnada ni wapi? Pale hotelini au Chipukizi? Ma dada poa watakuwepo?
 
Mnh chupi ya kike,pete ya ndoa...Ivo ndo vya milioni ngapi?Maana kila alichoibiwa ni cha milioni kadhaa
 
vitu vya kighoma malima kupigwa mnada
Bunduki moja ya kivita pamoja na risasi zake
Madini ya tanzanite na dhahabu
Chupi moja ya kike 'bikini'(haijulikani imeingiaje humu)!
Nyaraka mbalimbali za madili ya kuchimba madini na mafuta
Pete ya ndoa(cjui kwanini aliivua!):cool2:

Mkuu wa Police wa mkoa ameahirisha mnada kutokana na sababu za kiintelegensia, utafanyika mwisho wa mwezi
 
Back
Top Bottom