Mnaangalizia wapi JF jamani?

Mimi matawi ya juu. Niko wired 24/7...
nenda vacation kijana.....
watu muelewe kuwa kuingia JF sio lazima uwe na ri PC likubwaaa na mawaya waya kibao.....FYI sio JF wapo.....
 
nenda vacation kijana.....
watu muelewe kuwa kuingia JF sio lazima uwe na ri PC likubwaaa na mawaya waya kibao.....FYI sio JF wapo.....

Niwe vacation...niwe bafuni...niwe kwenye mabox...I'm wired 24/7. Get it?
 
Internet Explorer iko in task bar inasubili any update from 6am to 6pm..ukitoka dakika 50 unaenda room unaconnect kwenye wireless mpaka asubuhi..Ukistuka kwenda msalani saa nane usiku..unatikisa mouse kama kuna kuwa na screen server unaangalia NN kasema nini....mwanajamiiOne kapost nini,unaenda kwenye siasa unaangalia Mwanakijiji na mwanahalisi tena then unalala tena.
Una switch off asubuhi laptop unaingia kwa office...na login...kwenye computer unafunga program zako...kisha unafungua na internet on JF hewani....Ukiwa na IE 8.Unafangua task kama mbili hivi..days goin on ukiwa bar jioni una login kwenye nokia yako...unakuwa hewani..yaani ni balaa..wakati mwingine unatoa story za serikari kama huna evidence...unafungua JF....

Kama uko na shori....sera za kuhusu mapenzi...unafungua JF moja kwa moja kwenye mapenzi...wanashaangaa unashusha nondo...michezo hivyo hivyo...kama wengine na mpira mbali....lakini tunachangia kama kuna lolote kwenye kijiwe cha wanasoka....

Wengine tunatoa Helpsupport kwa end user kwa kusoma JF kwenye thread ya technologia....yaani..

JF everywhere Jf na mie.Am addicted na JF.
 
Una switch off asubuhi laptop unaingia kwa office...na login...kwenye computer unafunga program zako...kisha unafungua na internet on JF hewani....Ukiwa na IE 8..
Utaifurahia zaidi JF ukiwa na FireFox, Internet Explorer inakukosesha mengi... Give it a try & see.

Pole kwa kuwa addicted.

Kwa wenye emails za JF kama wanataka kuwa wanasoma mails vema kwa mobiles baasi rahisi sana, wasilianeni na Mwazange anaweza kuwaelekeza.
 

Nimewahi kujiuliza hili swali nikaamua kufanya uchunguzi. Nilichogundua ni kwamba posts nyingi za JF zinaingia muda wa kazi, monday to friday.

Ukiangalia speed ya watu kupost siku za w.end ni ndogo sana ukilinganisha na siku za kazai, mf kama kuan mtu ameanzisha thread inayovutia na akaipost j.mosi, itapat response kdg j.mosi na j.pili, lakini ukiingia j.tatu mchana utakuta watu kibao wamechangia!

Swala jingine ni muda wa usiku. Ukifanya uchunguzi utagundua kuwa wengi wanaochangia posts mida ya jioni sana au usiku ni watu wa nje ya nchi, na wachache wa hapa bongo(maybe wana net nyumbani au wanaingia kazini shift ya usiku)

Conclusion; Wana JF wengi hutumia pc za kazini kuchangia au kutembelea jamvi

Angalizo; Kuweni makini, JF is addicting, so jaribuni kujicontrol msijepunguza work output(make nahisi saa nyingine mtu unaweza kukaa foleni unasubiri huduma kumbe njemba iko inasoma JF we unadhani yuko bize!)

Habari njema, nasikia kuna fibre optic cable inakuja, sasa kama kweli itapunguza bei ya internet, watu wengi wataweza kutumia net nyumbani.

N.B - Mi niko nyumbani kwa sasa, simo ktk kundi la wanaotumia pc za ofisini kuvisit net(ofcoz hata ofisini kwetu hakuna hata pc moja!!)
 
I think naitaji vakasheni ya siku kama tatu hivi.

Maana nahisi JF kama imeharibu bongo langu, yaani kiasi ya kwamba saa ingine habari ya kushangaza mi natoa mimacho tu, maana nashindwa kushangaa kwa jinsi JF ilivyo haribu akili. lol!

Wengi walioko nje ya nchi JF ni ndio sehemu zao za kupata habari na kuchangia ili na lile na kujuwa kinacho jiri uko home. Mara nyingi wachangiaji wengi ujihisi kama wapo nyumba pale wanapokuwa online au kuchangia ili na lile.
 


Unatumia pc yako au unatumia kodi za wadanganyika kuperuzi JF?
 

Obuhusegwe!
You are absolutely right! Big five!
Wanajamii forums wengi wanobishana bila hoja za msingi huwa wanatumia mtandao wa Umma yaani maofisini! Mtoa mada angerejea postzangu huko nyuma japo hapa jamvini nimejiunga March 2009 niliwahi kuhoji ikiwa kweli mtu analipa kupitia Zantel Voda au TTCL hawezi kupoteza pesa zake kuchangia utumbo!

Watafadhalishwe waache ufisadi kama wa CCM.Lets join hands tuwakomalie TACRA waache usingizi japo kwa sababu sheria hazitumiwi na serikali za CCM unless when unapogusa maslahi yao huwa wanakuwa mbogo and this is Double standards!

Tuwe mfano na kuacha ukupe wa kutegemea bure kuchangia jamvini!

Pia na wewe usijifagilie labdo uko ofisini unangojea foleni ipungue otherwise ni PM nikuulize kwenye Supersport 5 kuna mchezo gani!
 

As a proof, subiri uone hii mada itakavyoshambuliwa kesho, duh!
 
As a proof, subiri uone hii mada itakavyoshambuliwa kesho, duh!
Obhusegwe



Thanks lakini hujanijibu uko wapi!
Majibu nimepata uko ofisini au kwenye cafe anyway kwenye supersport 5 kuna Tkwa tenis Wimbeldon anacheza Santoro na Ferero live set moja bila na sasa ni 5

Tungojee watu wa dezo naona Mzee Mwanakijiji na NN WANALUMBANA kuhusu maneno nadhani wako ofisini gnite
 

Mimi ni muathirika mmoja wapo waJF,asubuhi siwezi kufanya kazi zangu bila kuchungulia nini kinacho endelea hapa,mchana hivyo hivyo pia.Kacheche ni usiku,kacheche inaanza pale my waifu anataka kuongea na mimi wakati huo nipo JF inakuwa ngumu kweli kuelewana hapo.Mara nyingi na nyimwa chakula cha usiku wa sababu ya kuwa Busy na JF.JF patamu bana we acha tu
 
Ok good!

Sipendi watu wanaoshambulia mafisadi kila siku wakati nao ni mafisadi wadogowadogo, using their time at office to check in JF!
Nimekuelewa mkuu, ni kweli ni ukihukaji wa haki za mwajili kutumia muda wa kazi kwa kufanya shughuli binafsi, zilizo nje ya kazi husika.
 
Congrats watu waliopo hapa JF muda wote 24/7.
 

Introduction: Ni kweli kila mtu ana mchango wake, kwa mfano mchango wa mwanakijiji sio sawa na mchango WoS wala UM wala sawa na wa Penny wala Superman. Hiyo ndio inaitwa diversity.

Results and
Discussion: : Hayo ya kubeza umeyatoa wapi? eeh, kutunga, kama ninavyoheshimu mchango wako na wewe unavyoheshimu mchango wa wanaouliza maswali kila siku, wanaotoa ushauri, wanaotafuta habari na kubandika, basi heshimu mchango wangu wa kucriticise pale ninaweza na kutaka, okay lady? Ulichofanya hapo ni kunibeza!
Okay nikija kwenye point, Mwenye post 15,000 ni Mwanakijiji, right? Yeye anarepresent 0.009 % ya members wote, na mchango wake ni 3.16% ya post zote at the rate of 0.011 per year, sijapiga hesabu ya thread alizoanzisha, ameingia humu JF 2006.

WoS unarepresent 0.009 % ya members humu na mchango wako ni 0.46 % ya post zote at the rate of 0.015 per year na Uwiano Maalum hapa ninarepresent 0.009 % members humu na mchango wangu ni 0.18 % ya post zote at the rate of 0.01 per year. Mwanafalsafa1 ni katika members ambao wanarate ya juu ya kupost, 0.4 posts per year wkati mchango wake ni 10% ya mchango wa Mwanakijiji.

Tofatuti ya michango hapa JF imebase zaidi na tuliokuwemo humu JF, accessibility ya internet, tofauti ya majukumu ya kitaifa na kifamilia, priorities na maslahi.

Conclusion: Idadi ya post za mtu zinawiana zaidi na muda toka mmoja ajiunge na JF. Ukichukulia wastani wa kupost kwa mwaka, WoS uapost at high rate than mwenye post 15,000.

Hivyo basi WoS sikuwa nabeza bali ni fact kwamba kuwa na post 15,000 kunategemea na muda wa JF membership, na kwamba rate zinatofautiana za kupost inaweza kuwa ndogo japo una post nyingi.
 
Last edited by a moderator:

Kaniki1974, Wana JF huwa wanaangalizia JF sehemu mbali mbali. Kwa mfano mimi Binafsi huwa naangalizia Kazini kwa baadhi ya masaa, Nyumbani kwenye laptop yangu na kwenye Internet Cafe wakati ninapokuwa nimesafiri.
 
Utaifurahia zaidi JF ukiwa na FireFox, Internet Explorer inakukosesha mengi... Give it a try & see.

Pole kwa kuwa addicted.

yap yap yap ebwanaeeeeeeeee

umejuaje?
mi ndo natumia hiyo, kitu kiko fasta kama unatafuna keki!
 
Ha!ha!ha! Mkuu Max.....nadhani hapa wadau watakuwa wanarefer washkaji wa UWT na kuna wale wengine ambao wanaweza kuwa sponsored just ''kuspoil mazingira'' hapa!

Yeah, I guess so as well....
 
JF kwangu ni shule hivyo naidhamini sana kwa hiyo tuitumie vizuri jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…