Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Yo-Yo: ''Wanaume wanaotumia muda mwingi JF hawana mashori wazuri''
Itabidi tuitishe FJ Bash tuone kama Yo-Yo yuko sahihi.
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
...............
Usiige tembo kunya, utapasuka....
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
Kilevi chochote kinaweza kuwa na madhara. Hivyo ndugu muuliza swali ukae ukijua kuwa JF ni nzuri lakini pia inaweza kukuathiri kama laivyosema ndugu yetu SMU.Aisee kweli bwana, JF is as addictive as heroin! Bila dozi ya 'angalau' saa moja ya JF unaweza kosa usingizi ati!
ili ufikishe posts 15,000, lazima uanze na kupost post moja. So worry not, iko siku nawe unaweza fikisha idadi hiyo ya post. , kutunga habari na kuzichapisha na mambo kama hayo.
Usiige tembo kunya, utapasuka....
uw hapa anakupa ushauri mzuri sana....usiangalie wengine wamefanya nini au wamefikisha posts ngapi.
Kila mtu JF ana mchango wake na kwa aina tofauti. Kuna wenye kuuliza maswali kila kukicha wakitaka ushauri, kuna wenye kuleta mizaha na utani na hii pia ni muhimu kusaidia watu ku relax, kuna wenye kuleta mada moto zenye kuhitaji michango na analysis, kuna wenye kutafuta na kubandika habari kutoka vyanzo mbalimbali. Hawa tena mimi naweza kuthubutu kusema kuwa ni muhimu mno maana kuna watu hawawezi kupata habari hizo kwa urahisi. Hivyo ni makosa kubeza watu kwa michango wanayoitoa JF.teh teh teh kwi kwii kwii!
kuna tofauti kubwa ya lini mtu kajiunga na idadi ya post zake, mtu wa 2006 na 2009 ni tofauti, kuna mtu mmoja wa 2006 (jina kapuni) hajafikisha hata post 500!, yupo wa March 2009 anapost zaidi ya 1000!, ukiangalia hapo utakuta wengine wanapost hata pumba tu, ili mradi aonekane ana posts nyingi, bora upost hata 2 zenye akili kuliko 100 zenye matope!
kuna wazee wa kukopi na kupaste, hawa hawafikirii kwa akili zao, bali ni kunakili what others did, wanaonekana vichwaaaaaaaaaaaa kumbe hawana lolote
sio siri mimi na jf nikama samaki na maji. kwanza ndo home page yangu.kwa kifupi mimi naangalizia kwenye ka laptonga kwangu huku mbele (oslo) ambako napiga shule.
huwa napata taarifa kibao.
Nyani ngabu wewe vp?
Kuangalia JF kunawiana vipi na kuwa na post 15,000? Ili ufikishe post hizo lazima uandike na kupost kwenye thread mbalimbali.
Pia ili ufikishe posts 15,000, lazima uanze na kupost post moja. So worry not, iko siku nawe unaweza fikisha idadi hiyo ya post. Kama umejiunga JF jana au mwaka jana usijilinganishe na mtu aliyejiunga hapa mwaka 2006.
Zaidi ya hayo, kama wewe ni bank teller, na baada ya kazi unaenda kupata kilaji, usijilinganishe na mtu ambae kazi yake ni kuandika na kufanya uchunguzi, muda wake mwingi anautumia kutafuta habari na kuzianalyse, kutunga habari na kuzichapisha na mambo kama hayo.
Usiige tembo kunya, utapasuka....
Kweli Mkuu, wengine ni matusi tu, wanapewa ban lakini wakirudi tu post yao ya kwanza ni matusi, sasa sijui wingi wa post una maana tena hapo!... ukiangalia hapo utakuta wengine wanapost hata pumba tu, ili mradi aonekane ana posts nyingi, bora upost hata 2 zenye akili kuliko 100 zenye matope!
Duh,Ila kuna mtu alishauliza siku za nyuma swali almost similar na alilouliza Kaniki kwamba watu wanafanya kazi zao sangapi maana wanatumia muda mwingi JF? akajibiwa kuwa kuna watu ambao kukaa kwenye mtandao (kama JF) ndo kazi yenyewe. Kama ni kweli basi obviously wao watakuwa na muda mwingi na post nyingi zaidi ya wale wanao visit JF kwa kutoa/kutafuta habari, kupumzisha akili, nk
Duh,
Kwa mara ya kwanza nasikia hii... Hahahaha, yani mtu kazi yake ni kukaa JF kujibu posts?
Hata Admin au moderators JF si kazi yao rasmi (as far as I know). Kama wapo wa hivi kweli kazi ipo....
sio siri mimi na jf nikama samaki na maji. kwanza ndo home page yangu.kwa kifupi mimi naangalizia kwenye ka laptonga kwangu huku mbele (oslo) ambako napiga shule.
huwa napata taarifa kibao.
Nyani ngabu wewe vp?
wengine wanapost hata pumba tu, ili mradi aonekane ana posts nyingi, bora upost hata 2 zenye akili kuliko 100 zenye matope!