Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,441
- 2,233
Dah! Nimecheka sana, hadi mwenye nyumba amegundua kuwa nipo geto na ilhali ananidai kodiwe Mkunda? Au kwenye jina lako hustahili irabu a ila u tupu?
UVCCM wanavalishwa combats, Samuya must be removed.Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu. How comes? Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM? Kwa nini jeshi linachezewa hivi we Mkunda? Au kwenye jina lako hustahili irabu an ila u tupu?
Kapicha ka huyo bwana mdogo aliyetinga gwanda na ndevu.Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Hao wapo muda tu shida ni kukalili na kujifungia sehemu moja mm nmewashuhudia toka enzi ya magufuli huku mipakani tuliko sisi wanajeshi wana rasta wana ndevu had wengne wana tatuu na ukiwaona huwezi kuwadhania ni hayo tuPOLISI WENYE RASTA WAMEKUWA WENGI JE MAADILI IKO HVYO?
Ma-soldier wao wanasemaje?We ndo unajua leo ni uvccm na special agent na migambo waliokuwa wakishirikiana na polisi oct 29 hakuna true soldiers umo kwa ufupi wao ni kushoot tu
Hao wapo muda tu shida ni kukalili na kujifungia sehemu moja mm nmewashuhudia toka enzi ya magufuli huku mipakani tuliko sisi wanajeshi wana rasta wana ndevu had wengne wana tatuu na ukiwaona huwezi kuwadhania ni hayoPOLISI WENYE RASTA WAMEKUWA WENGI JE MAADILI IKO HVYO?
Mfano wilaya ya masasi alikuwepo afisa upelelezi ana rasta Marley akasomePOLISI WENYE RASTA WAMEKUWA WENGI JE MAADILI IKO HVYO?
Kuna wanaodai ni vijana wa UVCCM.
Na bunduki wanazo???Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Hao siyo JW hao ni vijana ambao walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kila wilaya wakiitwa jeshi la akiba ndio hao kila wilaya nchi hii kipindi cha kampeni hawa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi chini ya usimamizi wa wakuu wa wilaya ndio hao wamebadilishwa tu mikoa na silara walizopewa ni zile za AbdulNimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Sio uchebe tu hadi rasta wengn had tatoo nmewashuhudia kwa macho yanguWapo wajeda wengi tu wana uchebe
Na bunduki wanazo???
Kuna wanaodai ni vijana wa UVCCM.
Na bunduki wanazoNimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Mtego huoWao wanadai bunduki hazina kitu.