Mna uhakika hawa ni JWTZ?

Mna uhakika hawa ni JWTZ?

Kinachowapa kiburi ni hayo mabunduki wanayobeba, ila wakiwa hawana hao ni tembele tu
Mkuu kwani maana ya 'nguvu' ni nini katika muktadha huo?

Kwa mfano mtu akisema 'Serikali ina nguvu' wadhani ni nguvu za masumbwi au mieleka?

Ni hayo masilaha ndiyo nguvu yenyewe hiyo, lakini 'nguvu' ya umma inashinda nguvu ya mabunduki.
 
Naaam na silaha ni mpya kabisa wengi hawajaligunduwa hili
Hao siyo JW hao ni vijana ambao walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kila wilaya wakiitwa jeshi la akiba ndio hao kila wilaya nchi hii kipindi cha kampeni hawa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi chini ya usimamizi wa wakuu wa wilaya ndio hao wamebadilishwa tu mikoa na silara walizopewa ni zile za Abdul
 
Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.

How comes?

Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?

Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Green card kwa mfumo wa serikal ya saa muya wanapokea mshahara kama jesh lingine na wanahadh ya jeah
 
Mkuu kwani maana ya 'nguvu' ni nini katika muktadha huo?

Kwa mfano mtu akisema 'Serikali ina nguvu' wadhani ni nguvu za masumbwi au mieleka?

Ni hayo masilaha ndiyo nguvu yenyewe hiyo, lakini 'nguvu' ya umma inashinda nguvu ya mabunduki.
Labda umma nao ubebe bunduki
 
Labda umma nao ubebe bunduki
Kama kiburi cha watawala kuona waTz wote ni nyoko, D9 ni D day, baada ya hapo watakaokuja kutuamua siyo sijui tume ya maridhiano hiyo ya kitapeli tena.

Wasiichezee hiyo golden chance wakidhani kuna muda wa kubembelezana huku vifo vya maelfu ya vijana wetu hakuna anayejali.
 
Back
Top Bottom