Unapanda boda, hautaki kutembea japo 1Km.
Unarequest sana Bolt. Yani wadada siku hizi mmejizoelesha sana kurequest, daladala hamtaki kupanda kabisa.
Mlo wako kwa siku unatumia kiasi kisichopungua 8000/=, hapo kwa mwezi ni 240k.
Vocha kwa mwezi haipungui 100k.
Ukichanganya na vikorokoro vingine kama kusuka, mafuta, perfumes, nguo, viatu, unakuta imeshasoma 550k.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Nimekosea hapo juu?