MMU thread ya kufungia mwaka

ziko mbinu nyingi bana za kumchinja kuku,we mwaga tu uzi wako tupate maujuzi.
 
Duh! Mi ntakuwa msomaji tu na mchangiaji. Haya wale ambao ziko tayari waziweke maana siku nazo zinayoyoma, tuanze kuzisoma mapemaaaaaaaaaa na hivyo tena kigezo kimojawapo ni lazima ZIWE PASUA KICHWA l.o.l
 
Ila kweli unajua akili za juu zikiwa nyingi na za chini zinakuwa nyingi

msianze oooh mbona fulani hana za juu ila anazo za chini, huyo ni exceptional case

Mkuu wanamapinduzi wengi damu zao huwa zinachemka,si unaona Fidel Castro hadi na kuoa ilishindikana shauri ya mwili wake kuchemka sana.
anyway tuombee sisi wenye zambi.
 
sawa Mkuu,basi ngoja tutafunetafune twa mwisho kabla ya dec,31st ili mwaka mpya ukianza tuwe clean kabisa.We TF na genge lako umesikia azimio hili,2012 no infiiiiiiiiii, okei??????
 
taizo la Husn anajali sana saizi ya kiatu kuliko kitu kingine chochote kile,yaani yuko razi auze cheni mradi apate hela ya kulipia chumba buibui,Husn bana!
 
Nawatakia kila la kheri, msalimie shemeji langu uporoto.

Mwambie X'mass natarajia kuwa mgeni wenu yale mahanjumati mlonipikia kwenye eid nimeyakumbuka sana... Gauni ntalituma kesho kwa dar xprec!
hadi ifike dec,25th watakuwa wameshaachana hao!
 
Una akili kama mchwa
its me na muumba wangu
ungekuwa karibu tungegonga cheers ya vichwa

Sizinga hili la ahera nshalisemea siku nyingi,it is between me and my Maker,nobody else can judge me,na hii principle applies kwa kila mtu.
Turudi kwenye mada,nami nakutakia a happy festive season.
 
hivi hatuwezi uchapisha
tukaongeza na vionjo vya katuni
tukasambaza kwa wakala wa mauzo
naomba kuwa scrpt director kitengo cha katuni
iko siku atatokea mjanja afanye hivo kisha ushtukie kona ya maktaba mtu anauza kijarida kimeandikwa 'simulizi za Kongosho kwenye jf',halafu mi nahisi siku si nyingi jambo kama hilo kutokea,mijizi kwa ubunifu we acha tu.
 
am blushing already
umeongelea ya ndoa na mimba
nimeskia raha ngoja nikajipongeze kwa juisi

Kongosho nikikupa hizo na hio aggressive nature of yours ndani ya miezi mitatu uchumba, ndoa, mimba....hahahahah!
 
Duh! Mi ntakuwa msomaji tu na mchangiaji. Haya wale ambao ziko tayari waziweke maana siku nazo zinayoyoma, tuanze kuzisoma mapemaaaaaaaaaa na hivyo tena kigezo kimojawapo ni lazima ZIWE PASUA KICHWA l.o.l
naam ili tufunge mwaka vizuri.Eliza wa tegeta kanipigia kanambia anaandaa part two ya 'mkome kuPM waume zetu usiku wa manane'.
 
Ila kweli unajua akili za juu zikiwa nyingi na za chini zinakuwa nyingi

msianze oooh mbona fulani hana za juu ila anazo za chini, huyo ni exceptional case
si unaona hata mavituzzz ya babu Mandela,mpaka mke wa rafiki yake kavuta?
 
Nikitoka kidogo tu wajuba mko busy kuharibu CV yangu....
 
Mimi nitashusha maandiko matakatifu yanayokemea dhambi ya uzinzi na tamaa ,maana na ona humu jukwaani washabikia uzinzi ni wengi sana. wachungaji wote humu naomba mnisapoti. Nataka tufunge kwa maombi na Neno La MUNGU
 
Bora, utakuwa umeokoa roho nyingi sana
zilizopotea

Mimi nitashusha maandiko matakatifu yanayokemea dhambi ya uzinzi na tamaa ,maana na ona humu jukwaani washabikia uzinzi ni wengi sana. wachungaji wote humu naomba mnisapoti. Nataka tufunge kwa maombi na Neno La MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…