Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #281 sweetlady said: Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa. Click to expand... mi ukitoka wewe SL jf nami najitoa!
sweetlady said: Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa. Click to expand... mi ukitoka wewe SL jf nami najitoa!
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Dec 15, 2011 #282 sweetlady said: Fungasha asee.... Click to expand... Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu.
sweetlady said: Fungasha asee.... Click to expand... Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #283 Nina ulanzi na togwa grade one inatuliza hisia zote za msimu hasa zivumazo kutokea kusini kwenda kaskazini huhitaji busu Fidel80 said: Naomba lazizi unibusu na bapa la konyagi nitazinduka. Click to expand...
Nina ulanzi na togwa grade one inatuliza hisia zote za msimu hasa zivumazo kutokea kusini kwenda kaskazini huhitaji busu Fidel80 said: Naomba lazizi unibusu na bapa la konyagi nitazinduka. Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #284 Fidel80 said: Yule ni shemale. Click to expand... shemale wakti mi nshalamba? We nae!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Dec 15, 2011 #285 Bishanga said: mi ukitoka wewe SL jf nami najitoa! Click to expand... Sitajitoa kwaajili yako..
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #286 wewe tua tu tena na mabawa ung'oe Fidel80 said: Nitashindwa kumdhibiti kimahaba? Nataka nitue mabegi kwake ya mapenzi. Click to expand...
wewe tua tu tena na mabawa ung'oe Fidel80 said: Nitashindwa kumdhibiti kimahaba? Nataka nitue mabegi kwake ya mapenzi. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #287 afu hajui kama nimehamia karibu na kiwanda cha kutengeneza vaseline cha baresa Bishanga said: we mwache,akigeuziwa kibao ndo atajua jiji! Click to expand...
afu hajui kama nimehamia karibu na kiwanda cha kutengeneza vaseline cha baresa Bishanga said: we mwache,akigeuziwa kibao ndo atajua jiji! Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #288 Fidel80 said: Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu. Click to expand... you mean kongosho ametaka kukubom?
Fidel80 said: Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu. Click to expand... you mean kongosho ametaka kukubom?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #289 Kakua, anataka kunyoa sweetlady said: Mtoto akililia wembe..... Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #290 sweetlady said: Sitajitoa kwaajili yako.. Click to expand... sishangai, ningeshangaa kama angekuwa TF kasema kujitoa na wewe ungekataa ungetangaza kujitoa kwa ajili yake,poa tu.
sweetlady said: Sitajitoa kwaajili yako.. Click to expand... sishangai, ningeshangaa kama angekuwa TF kasema kujitoa na wewe ungekataa ungetangaza kujitoa kwa ajili yake,poa tu.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #291 Umetishiwa nyau? Basi hili goma la wakubwa halilali naona weye watakiwa kwenda ngoma ya vigori Fidel80 said: Hapa ngoza nisikilize ushauri wa wakubwa nabeba mabegi yangu ya mapenzi. Click to expand...
Umetishiwa nyau? Basi hili goma la wakubwa halilali naona weye watakiwa kwenda ngoma ya vigori Fidel80 said: Hapa ngoza nisikilize ushauri wa wakubwa nabeba mabegi yangu ya mapenzi. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #292 Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Fidel80 said: Naye ni eliza wa tegeta? Click to expand...
Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Fidel80 said: Naye ni eliza wa tegeta? Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #293 kongosho said: afu hajui kama nimehamia karibu na kiwanda cha kutengeneza vaseline cha baresa Click to expand... astaghafirulah astaghafirulah Fidel kaumia!!!!
kongosho said: afu hajui kama nimehamia karibu na kiwanda cha kutengeneza vaseline cha baresa Click to expand... astaghafirulah astaghafirulah Fidel kaumia!!!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #294 Ha ha ha, yupo usijitoe ntakuletea bazoka sweetlady said: Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa. Click to expand...
Ha ha ha, yupo usijitoe ntakuletea bazoka sweetlady said: Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa. Click to expand...
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 15, 2011 #295 Bishanga said: rusha basi,halafu usisahau kumsifia Bishanga Abashaija kwa jinsi anavyom care eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wanawake wa mmu. Click to expand... Hahahahahaaa........MR. BANANA MAN!!!
Bishanga said: rusha basi,halafu usisahau kumsifia Bishanga Abashaija kwa jinsi anavyom care eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wanawake wa mmu. Click to expand... Hahahahahaaa........MR. BANANA MAN!!!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #296 kongosho said: Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Click to expand... acha hizo bana,muda huu niko buibui na SL ndo tunamalizia demo,ameridhika kwamba kweli Bishanga joka la kibisa hata uligeuze vipi.
kongosho said: Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Click to expand... acha hizo bana,muda huu niko buibui na SL ndo tunamalizia demo,ameridhika kwamba kweli Bishanga joka la kibisa hata uligeuze vipi.
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 15, 2011 Thread starter #297 kongosho said: Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Click to expand... kongosho unaendaga jackies? Mmmmmhhhhh tusha collide basi hapo,nice place,napenda kuku wa kuchoma wa hapo.
kongosho said: Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili ndo mana leo anamlilia SL Click to expand... kongosho unaendaga jackies? Mmmmmhhhhh tusha collide basi hapo,nice place,napenda kuku wa kuchoma wa hapo.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 15, 2011 #298 Husninyo said: Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol. Click to expand... Nitakugea namba yangu ili siku hiyo kama nikiwa sipo jamvini unistue.......lol!!!
Husninyo said: Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol. Click to expand... Nitakugea namba yangu ili siku hiyo kama nikiwa sipo jamvini unistue.......lol!!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #299 Usijali, na uwezo wa kumfanyia mtu upasuaji bila nusu kaputi na wala asisikie maumivu sembuse ugumu wa kujitakia? Hata kama una tight jeans moja nina suluhisho na hela ya kunipa utaipata Fidel80 said: Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu. Click to expand...
Usijali, na uwezo wa kumfanyia mtu upasuaji bila nusu kaputi na wala asisikie maumivu sembuse ugumu wa kujitakia? Hata kama una tight jeans moja nina suluhisho na hela ya kunipa utaipata Fidel80 said: Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 15, 2011 #300 We nae, mambo ya Namnani unayaleta jf ya PM unapeleka bar jamani vizee vya mjini ukivionjesha vinaanza kupiga king'ora Bishanga said: shemale wakti mi nshalamba? We nae! Click to expand...
We nae, mambo ya Namnani unayaleta jf ya PM unapeleka bar jamani vizee vya mjini ukivionjesha vinaanza kupiga king'ora Bishanga said: shemale wakti mi nshalamba? We nae! Click to expand...