Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,593
- 2,380
When you believe somehow you will
You will when you believe
Wwmbona zile collection hazifunguki??
lakini uzi wetu wa kula tunda kimasihara upewe ulinziHabari wana MMU na JF as whole,
Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members na mimi mwenyewe kuunga mkono malalamiko hayo nimeomba kwa mkuu Invisible katika thread ya Ngabu kuweza andaa thread ambayo itakusanya thread zote ili kupunguza idadi ya Stickys ambazo zote zitakuwa katika sticky thread ambayo ni hii nimeandaa.
Nimechukua nafasi kuandaa hii thread ikilenga ku upadate mara kwa mara thread ambazo zimejadiliwa hapa MMU ziwe hazikubaliki ama kukubalika kwa wote mradi ziwe ndani ya yale ambayo yanafanywa katika jamii na kwa namna moja ama nyingine hizo thread in a way ziwe zina elimisha/burudisha/ongeza ufanisi ama uelewa nakadhalia.
Nawaomba wanafamilia wote wa MMU tukumbushane ni thread gani ambazo zinatakiwa ziwe updated katika thread hii. Nilichofanya hapa ni kuchukua links ya thread zote zilizoluwa zimebandikwa hapo na kuongeza nyingine kadhaa ambazo nakumbuka na baadhi ambazo zimekuwa suggested kwa an alternative (pm) na kuziweka hapa.
Naamini na kujua kuwa kuna threads zipo nyingi mno. Hivyo kuna zile kwa wewe kama my fellow member ukiziweka in a post kukumbusha kwa namna moja ama nyingine inakuwa inaturudisha nyuma na kutukumbusha huko. Nitaomba ushirikiano wenu wa dhati katika hili, na natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu.
(Hii thread hii should be a closed one aisee, alter Roulette hebu fanya mambo kama hongo nitakupa)
- Utatu wenye utata - umri, pesa na mapenzi - JamiiForums
- Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha - JamiiForums
- Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada - JamiiForums
- Mwanaume KAMILI - JamiiForums
- Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke) - JamiiForums
- Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani - JamiiForums
- Matumizi ya simu katika Mahusiano - JamiiForums
- Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi? - JamiiForums
- Kwani lazima kuoana? - JamiiForums
- Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa - JamiiForums
- My thoughts, what are yours? - JamiiForums
- Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga? - JamiiForums
- KITCHEN PARTY BUBU.. Nafasi ya MKE ndani ya NDOA (Kwa wanawake tu!!!) With Love to You Cheusie - JamiiForums
- Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano - JamiiForums
- Do you feel LOVED? - JamiiForums
- NDOA: Zamani vs Siku hizi - JamiiForums
- Wazazi/mzazi wa binti - JamiiForums
- Tahadhari kwa wanawake walioolewa - JamiiForums
- Mafanikio kimaisha - JamiiForums
- Mtizamo: Let love lead the way - JamiiForums
- To revive 'intimancy' in your marriage - JamiiForums
- Eti hatujui... kipimo gani kinatumika? - JamiiForums
- Aina za ndoa - JamiiForums
- Usha flirt naye sana - JamiiForums
- Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...! - JamiiForums
- Mdahalo: Kids Vs Spouses - JamiiForums
- Sisi ndio wanaume bwana! - JamiiForums
- Nani kama Mama Vs Nani kama Baba - JamiiForums
- In love, its about teamwork - JamiiForums
- Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo) - JamiiForums
The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo' - JamiiForums (same applies hapa The Boss....:canada
- Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA' - JamiiForums
- Zawadi ya ngono - JamiiForums
- Mwanaume mtaalamu jikoni - JamiiForums
- Can Men and Women Be Friends? - JamiiForums
- The best way to breakup. Is there any? - JamiiForums
- Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme - JamiiForums
- The Power of Letting Go.... - JamiiForums
- Mawasiliano katika mahusiano - JamiiForums
- When Women Take Charge..! - JamiiForums
- Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike? - JamiiForums
- "A man should provide for his wife. PERIOD" - JamiiForums
- Mahusiano yanapovunjika, wanawake ndio huumia zaidi...! - JamiiForums
- Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao? - JamiiForums
- Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo - JamiiForums
- Ulimtambua vipi kuwa huyu ndiye mwenyewe? - JamiiForums
- CONFESSION: Madhara ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango - JamiiForums
Take Note:-
Nilikuwa nikienda katika profiles za members mbali mbali ambao nimekumbuka haraka haraka na ku copy links tokana na topic head. Nyingi hapo sijaangalia content hivyo kama haifai tutaambiana tu. It should be noted as plenty as possible zaweza kusanywa. Ilikuwa ziwe kwa mtiririko wa topic name but nikashindwa na hivo kuziweka randomly.
Pamoja Saana with Love,
AshaDii.