MMU Thread Collection - General Topics discussed and posted in the Forum before Sept 2012

riltz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
237
Points
225

riltz

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
237 225
Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza.
Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba akaita gari na wakiwa njiani kuelekea hospotali yule mama akafariki.
walipofika hospitali baba akaomba mama afanyiwe upasuaji wa haraka ili waone kama mtoto aliyekuwa tumboni angeweza kupona.
Baada ya upasuaji wa haraka mtoto alitoka akiwa mzima na madaktari wakiwa wanashangaa baba aliendelea kuomba kwa Mungu akisema;
" Eeh Mungu kama umeweza kumwokoa mtoto huyu naamini pia waweza kuurejesha Afya ya mama yake
Ikiwa ni mapenzi yako naomba mke wangu kipenzi apone na kumshuhudia mwanae aliyemgojea kwa siku nyingi na hamu tele.
Ninaomba nikiamini kuwa wewe ni Mungu wa miujiza na mwenye huruma kwa sisi watoto wako AMEN"
Jopo la madaktari waliokuwa wakimsaidia yule mama wakaanza kushangaa kwa mbali mama mapigo ya moyo yakaanza kurudi na baada ya jitihada mama alipona na kila mtu mle ndani aliushangaa ule muujiza huku wakiwa na mshtuko wakamshukuru Mungu.
Sasa naomba nawe usikie maneno haya kwa makini!!!!!!
*Mungu akupe wepesi, amani na furaha kwa kila tatizo litakaloyasibu maisha yako
*Kamwe usichoke kumwomba Mungu hata kwa jambo unaloliona machoni mwako haliwezekani, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana
*Kuanzia leo katika kila jambo uliloliona kuwa gumu kwako litakuja kuwa rahisi na liwezekanalo
*Kwa kila jambo lililokuwa likichelewa katika maisha yako kuanzia sasa litaanza kwenda haraka nawe utashangaa ukuu wa Mungu.
*Utafurahia mafanikio ya kila jambo na ukishuhudia miujiza katika maisha yako.
 
Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
9,487
Points
2,000

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
9,487 2,000
Habari wana MMU na JF as whole,

Tokana na malamiko ya baadhi ya members na mimi mwenyewe kuunga mkono malalamiko hayo nimeomba kwa mkuu Invisible katika thread ya Ngabu kuweza andaa thread ambayo itakusanya thread zote ili kupunguza idadi ya Stickys ambazo zote zitakuwa katika sticky thread ambayo ni hii nimeandaa.

Nimechukua nafasi kuandaa hi thread ikilenga ku upadate mara kwa mara thread ambazo zimejadiliwa hapa MMU ziwe hakikubaliki ama kukubalika kwa wote mradi ziwe ndani ya yale ambayo yanafanywa katika jamii na kwa namna moja ama nyingine hizo thread in a way ziwe zina elimisha/burudisha/ongeza ufanisi ama uelewa nakadhalia.

Nawaomba wanafamilia wote wa MMU tukumbushane ni thread gani ambazo zinatakiwa ziwe updated katika thread hii. Nilichofanya hapa ni kuchukua links ya thread zote zilizoluwa zimebandikwa hapo na kuongeza nyingine kadhaa ambazo nakumbuka na baadhi ambazo zimekuwa suggested kwa an alternative (pm) na kuziweka hapa.

Naamini na kujuwa kuwa kuna threads zipo nyiingi mno. Hivo kuna zile kwa wewe kama my fellow member ukiziweka in a post kukumbusha kwa namna moja ama nyingine inakuwa inaturudisha nyuma na kutukumbusha huko. Nitaomba ushrikiano wenu wa dhati katika hili, na natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu.

Utatu wenye utata - umri, pesa na mapenzi

Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenzi wa maisha

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/50504-cheni-ushanga-mguuni-ina-maana-gani.html

Mwanaume KAMILI.....!!

Tofauti ya umri katika mahusiano

Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani
Matumizi ya simu katika Mahusiano

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Kwani lazima kuoana?

Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

My thoughts, what are yours?

Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?

KITCHEN PARTY BUBU….. Nafasi ya MKE ndani ya NDOA (Kwa wanawake tu!!!) With Love to You Cheusie…

Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Do you feel LOVED?

NDOA: Zamani vs Siku hizi...

Wazazi/mzazi wa binti....

Tahadhari kwa wanawake walioolewa...

Mafanikio kimaisha

Mtizamo: Let love lead the way....

To revive 'intimancy' in your marriage.........

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Aina za Ndoa ....

Usha flirt naye sana...

Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

Sisi ndio WANAUME bana.....!!

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Nani kama Mama Vs Nani kama Baba

In love, it’s about teamwork

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo) (Hii thread hii should be a closed one aisee, alter Roulette hebu fanya mambo kama hongo nitakupa)

The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo' (same applies hapa The Boss....:canada:)

Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Upole!!

Kujiuza

Bad habits

Zawadi ya ngono...

Mwanaume mtaalamu jikoni...!

Can men and women be friends?

THE BEST WAY TO BREAKUP.... is there any?

Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

The Power of Letting Go....

Mawasiliano na Mahusiano

When Women Take Charge..!

Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

"A man should provide for his wife. PERIOD"

Mahusiano yanapovunjika, wanawake ndio huumia zaidi...!

Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo...

Ulimtambua vipi kuwa huyu ndiye mwenyewe?

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/336309-confesion-madhara-ya-vidonge-vya-uzazi-wa-mpango.html

Take Note:-

Nilikuwa nikienda katika profiles za members mbali mbali ambao nimekumbuka harak haraka na ku copy links tokana na topic head. Nyingi hapo sijaangalia content hivo kama incase haifai tutaambiana tu. It should be noted as plenty as possible zaweza kusanywa. Ilikuwa ziwe kwa mtiririko wa topic name but nikashindwa na hivo kuziweka randomly.

Pamoja Saana with Love,

AshaDii.

Mimi hapa nina swali
Maana kila nikiandika story mnazihamisha mnapeleka Chit chat sijaelewa kwanini labda?!

Au mna rule mpya kuwa stori zote zinahamishwa chit chat?!

Naomba muongozo plz maana nahisi mnapendelea na wengine mnatuonea
 
riltz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
237
Points
225

riltz

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
237 225
inapendeza
Yes

Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza.
Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba akaita gari na wakiwa njiani kuelekea hospotali yule mama akafariki.
walipofika hospitali baba akaomba mama afanyiwe upasuaji wa haraka ili waone kama mtoto aliyekuwa tumboni angeweza kupona.
Baada ya upasuaji wa haraka mtoto alitoka akiwa mzima na madaktari wakiwa wanashangaa baba aliendelea kuomba kwa Mungu akisema;
" Eeh Mungu kama umeweza kumwokoa mtoto huyu naamini pia waweza kuurejesha Afya ya mama yake
Ikiwa ni mapenzi yako naomba mke wangu kipenzi apone na kumshuhudia mwanae aliyemgojea kwa siku nyingi na hamu tele.
Ninaomba nikiamini kuwa wewe ni Mungu wa miujiza na mwenye huruma kwa sisi watoto wako AMEN"
Jopo la madaktari waliokuwa wakimsaidia yule mama wakaanza kushangaa kwa mbali mama mapigo ya moyo yakaanza kurudi na baada ya jitihada mama alipona na kila mtu mle ndani aliushangaa ule muujiza huku wakiwa na mshtuko wakamshukuru Mungu.
Sasa naomba nawe usikie maneno haya kwa makini!!!!!!
*Mungu akupe wepesi, amani na furaha kwa kila tatizo litakaloyasibu maisha yako
*Kamwe usichoke kumwomba Mungu hata kwa jambo unaloliona machoni mwako haliwezekani, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana
*Kuanzia leo katika kila jambo uliloliona kuwa gumu kwako litakuja kuwa rahisi na liwezekanalo
*Kwa kila jambo lililokuwa likichelewa katika maisha yako kuanzia sasa litaanza kwenda haraka nawe utashangaa ukuu wa Mungu.
*Utafurahia mafanikio ya kila jambo na ukishuhudia miujiza katika maisha yako.
 
Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
7,558
Points
2,000

Poise

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
7,558 2,000

riltz ,
Amen.

Mkuu, asante. Sikutegemea ujumbe kama huu kwenye huu Uzi.
 
Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Messages
12,285
Points
1,225

Teamo

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2009
12,285 1,225
Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza.
Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba akaita gari na wakiwa njiani kuelekea hospotali yule mama akafariki.
walipofika hospitali baba akaomba mama afanyiwe upasuaji wa haraka ili waone kama mtoto aliyekuwa tumboni angeweza kupona.
Baada ya upasuaji wa haraka mtoto alitoka akiwa mzima na madaktari wakiwa wanashangaa baba aliendelea kuomba kwa Mungu akisema;
" Eeh Mungu kama umeweza kumwokoa mtoto huyu naamini pia waweza kuurejesha Afya ya mama yake
Ikiwa ni mapenzi yako naomba mke wangu kipenzi apone na kumshuhudia mwanae aliyemgojea kwa siku nyingi na hamu tele.
Ninaomba nikiamini kuwa wewe ni Mungu wa miujiza na mwenye huruma kwa sisi watoto wako AMEN"
Jopo la madaktari waliokuwa wakimsaidia yule mama wakaanza kushangaa kwa mbali mama mapigo ya moyo yakaanza kurudi na baada ya jitihada mama alipona na kila mtu mle ndani aliushangaa ule muujiza huku wakiwa na mshtuko wakamshukuru Mungu.
Sasa naomba nawe usikie maneno haya kwa makini!!!!!!
*Mungu akupe wepesi, amani na furaha kwa kila tatizo litakaloyasibu maisha yako
*Kamwe usichoke kumwomba Mungu hata kwa jambo unaloliona machoni mwako haliwezekani, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana
*Kuanzia leo katika kila jambo uliloliona kuwa gumu kwako litakuja kuwa rahisi na liwezekanalo
*Kwa kila jambo lililokuwa likichelewa katika maisha yako kuanzia sasa litaanza kwenda haraka nawe utashangaa ukuu wa Mungu.
*Utafurahia mafanikio ya kila jambo na ukishuhudia miujiza katika maisha yako.
When you believe somehow you will
 
Forum statistics

Threads 1,380,647
Members 525,840
Posts 33,775,861
Top