Akiwepo mbona mimi mwenyewe saa tatu tu nataka twende bedroom... akirudi you will notice the difference..
Nikilala mapema na hivi hayupo naboreka hivyo bora nile entertainments kama movies na net then sleep..
Hongera Asha kwa mara nyingine tena kwa kuanzisha uzi mwanana. Nawe nakutakia weekend njema.
Take care and be good.
YouTube - ‪Brenda-weekend special 80's -www.zimvibes.com‬‏
Kweli kabisa mdogo wangu...Umenikumbusha enzi zile za mitihani....mambo yakigota unahesabu mabati, matofali, mbao n.k ili usionekane umekuwa wa kwanza kutoka kwenye chumba cha paper!! I can imagine ukionza kuona maluwe luwe katika yale mambo yetu...labda uwe tool box yenye visaidizi vya kutosha. Vinginevyo kesho utaonekana kama ulikunywa chupa nzima ya Vodka!
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:Ashadii (Today)
Dawa ya moto ni moto mkali zaidi:
The Following User Says Thank You to Ashadii For This Useful Post:BABU ODM Asprin (Today)
Usisahau Senki moja ya babu ni sawa na hamsini za invizibo. Inakuondolea kupigwa ban hata ukimtukana Invizibo, mamods wote, maxence na Faiza Foxy.
Sema ahsante babu, kabla sijairimuvu.
Nshaivaa, kwani hata nikiivaa naonaga basi..... we jiinamie tu.Dah! kweli wewe BABU wa ukweli, Check nilivyopiga Goti... vaa miwani lakini..
Si unajua pa kunipata?...nakusubiri...Usijali... mjukuu atakupa update....lol
mpangilio wa majina umezingatia nini?
Useful post ashadii, big up
Viwango vya TBS
MhhhhhhhhhhhhhhhKweli kabisa mdogo wangu...Umenikumbusha enzi zile za mitihani....mambo yakigota unahesabu mabati, matofali, mbao n.k ili usionekane umekuwa wa kwanza kutoka kwenye chumba cha paper!! I can imagine ukionza kuona maluwe luwe katika yale mambo yetu...labda uwe tool box yenye visaidizi vya kutosha. Vinginevyo kesho utaonekana kama ulikunywa chupa nzima ya Vodka!
Uliitoa baada ya kutaka kujua kama ni lazima mwanamke kuolewa.... (nime trig Memo hapo???)lol