MMU’s JF Special

MMU’s JF Special

Sasa unataka kuharibu kabisa hebu soma hapa chini au umechanganya na zile za ID yako nyingine ya nanihiiiiiiiiiiiiiiiiiinooooooooo.......................
Join Date : 16th April 2011
Location : Dar
Posts : 3,047
Thanks 731Thanked 745 Times in 516 Posts

Rep Power : 31


Si ndo nashangaa unalalamika speed ni ndogo...lol
 
Kumbe uko makini hivi kureview a kuassess kazi zako Ashadii.Bravo.....
 
Aisee.... we mtoto mzuri sana....

Nakuombea kwa Mungu akuongezee baioloji nyingine...moja kwa ajili ya kumwaga maji machafu na kufaidi uroda, na nyingine kwa ajili ya kuniletea vitukuu!..............Huyu Ashadii we mwache tu, nikitema mate chini baioloji yake itahamia usoni walahi...mpk aniombe radhi......



OMG.... Ngoja nifanye mambo hata kama nitabaniwa...lol
 
Kumbe uko makini hivi kureview a kuassess kazi zako Ashadii.Bravo.....


Ninaporusha UZI nathamini kila mchangoo ndo maana hua sirushi siku niko busy...

Pamoja saaana... Thanks..
 

Never get angry. Never make a threat. Reason with BABU


Mpendwa Babu Asprin,

Dhumuni la ujumbe huu ni kukujuza kua AshaDii ana kiri kufanya makosa
kutomhusisha babu hata kama wlikutania sehemu nyingine ..
Hivyo matumaini yake makubwa utamsamehe!

Natanguliza shukrani...
Mjukuu to be...lol

n.b.. pandisha macho juu
 
Mpendwa Babu Asprin,

Dhumuni la ujumbe huu ni kukujuza kua AshaDii ana kiri kufanya makosa
kutomhusisha babu hata kama wlikutania sehemu nyingine ..
Hivyo matumaini yake makubwa utamsamehe!

Natanguliza shukrani...
Mjukuu to be...lol

n.b.. pandisha macho juu

Sasa waweza enenda kwa amani, kwakuwa umesamehewa dhambi zako zote..... hata utakazotenda kesho.

Usitende tena dhambi!
 
AshaDii mi nang'ata sa ivi nshaota meno! Lol
 
Thanks dear, nina bahati mbaya kila nikirusha uzi hao wawili hawapo, tunashare saana views lakini si katika uzi wangu, Asprin nammendea mjukuu nimejaribu in eveyway nipate quote but Hola!Alafu AD sijapanga tokana na ubora, of course except ya kwanza...lol
Nimekupata deargreat job tho ....
 
Sasa waweza enenda kwa amani, kwakuwa umesamehewa dhambi zako zote..... hata utakazotenda kesho.

Usitende tena dhambi!


The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Ashadii (Today)
 
AshaDii mi nang'ata sa ivi nshaota meno! Lol


Sina wasi wasi for you promised and you look like you keep promises zako..
By the way waweza ng'ata wengine...lol
 
Aisee.... we mtoto mzuri sana....Nakuombea kwa Mungu akuongezee baioloji nyingine...moja kwa ajili ya kumwaga maji machafu na kufaidi uroda, na nyingine kwa ajili ya kuniletea vitukuu!..............Huyu Ashadii we mwache tu, nikitema mate chini baioloji yake itahamia usoni walahi...mpk aniombe radhi......
Babu babu babuNaomba meza hayo mate ADI ametuma research teamKuleta yako...
 
Ngoja ntafute wa kumng'ata nshapewa go ahead na Ashadii
 
Back
Top Bottom