MMU’s JF Special

MMU’s JF Special

Ashadii, You really know how to bring people together!!..Brilliant idea

So nice of you..Thanks for cheering my day!! TGIF
 
Kudadadadadadeki wallahi!

Yani Ashadii mi ndo umeshindwa kunifagilia? Kuanzia sasa ntakuwa namwaga mapointi tu ili nami unirushe hewani kama FM academia.

Ha ha ha ha leo umepatikana angalia mimi nimewekewa Caps herufi kwa msisitizo. Ukomage na wewe kupenda ufagio
 
Ashadii, You really know how to bring people together!!..Brilliant idea

So nice of you..Thanks for cheering my day!! TGIF

Belinda Jacob a gal wit em' lips... i am glad you think so..

enjoy..
 
Hio quote iko kwenye uzi wa Usitingishe kibiriti ovyo (if not mistaken)Thanks love...
Teh teh teh Seriously Ulichofanya hapo juu kwa Hao members ni fabulous, fantastic Lakini hawa wawili MWANAJAMII1 na babu ASPRIN Wako kwenye top list yangu...
 
Ashadii hebu ongeza speed ya thanks.

Nitakutumia PM jinsi ya kupata icecream yako right???

AshaDii THANKS GIVEN 1622...

DA hizo thanks si kaasi iko pouwa?? lol
 
Teh teh teh Seriously Ulichofanya hapo juu kwa Hao members ni fabulous, fantastic Lakini hawa wawili MWANAJAMII1 na babu ASPRIN Wako kwenye top list yangu...

Unaanzisha sub thread sio kijanja eehhhhh
 
Teh teh teh Seriously Ulichofanya hapo juu kwa Hao members ni fabulous, fantastic Lakini hawa wawili MWANAJAMII1 na babu ASPRIN Wako kwenye top list yangu...

Thanks dear, nina bahati mbaya kila nikirusha uzi hao wawili hawapo, tunashare
saana views lakini si katika uzi wangu, Asprin nammendea mjukuu
nimejaribu in eveyway nipate quote but Hola!

Alafu AD sijapanga tokana na ubora, of course except ya kwanza...lol
 
AshaDii THANKS GIVEN 1622...

DA hizo thanks si kaasi iko pouwa?? lol

Sasa unataka kuharibu kabisa hebu soma hapa chini au umechanganya na zile za ID yako nyingine ya nanihiiiiiiiiiiiiiiiiiinooooooooo.......................
Join Date : 16th April 2011
Location : Dar
Posts : 3,047
Thanks 731Thanked 745 Times in 516 Posts

Rep Power : 31
 
Utanikuta kaunta ya juu nimekuandalia ile kitu yako unayo pendelea

ha ha ha Fidel taratibu anae jua napenda nini pande hio ni mmoja tu!! lol na tayari ipo hapa pembeni... ikiwa chilled.
 
Teh teh teh Seriously Ulichofanya hapo juu kwa Hao members ni fabulous, fantastic Lakini hawa wawili MWANAJAMII1 na babu ASPRIN Wako kwenye top list yangu...
Aisee.... we mtoto mzuri sana....

Nakuombea kwa Mungu akuongezee baioloji nyingine...moja kwa ajili ya kumwaga maji machafu na kufaidi uroda, na nyingine kwa ajili ya kuniletea vitukuu!..............Huyu Ashadii we mwache tu, nikitema mate chini baioloji yake itahamia usoni walahi...mpk aniombe radhi......
 
Back
Top Bottom